LiL KiM ATUA BONGO......

Mi ningeipa thamani hii kitu kama vijana wetu(wasanii) wangekua wanafaidika na hii kitu, huwezi amini wakina FidQ walikua Kkoo juzi wanafanya shoping ya raba za buku 7-10 yani wamepewa 50k each kwa ajili ya shopping, kweli hawa clouds wanawapatia hawa vijana, imagine mtu kama fidQ anapewa 50k wht abt hawa waduchu? jamaa wanyonyaji sana aisee...its horible ukisikia story za hawa wasanii live kama nilivyobonga nao juzi kkoo.
 
labda niulize swali....kwani msanii akipiga concert si analipwa fee yake??je ni lazima promoter/organizer amnunulie nguo/viatu??LIL'KIM amenunuliwa mavazi na CLOUDS??i dont think so.....kalipwa fee yake kaja na wardrobe yake.
 
Wasanii wawili wakali Fid Q kushoto na Jo Makini "Mwamba wa Kaskazini"wakipozi.

labda niulize swali....kwani msanii akipiga concert si analipwa fee yake??je ni lazima promoter/organizer amnunulie nguo/viatu??LIL'KIM amenunuliwa mavazi na CLOUDS??i dont think so.....kalipwa fee yake kaja na wardrobe yake.

ndivyo mkataba wao ulivyosema, ningependa kujua uhusika wako kwenye fiesta ili twende sawa mkuu, i gotta all evidence to prove you wrong.
 
sina uhusiano wowote na FIESTA/CLOUDS ENT. ndio maana nimeuliza coz sijui kitu.....ila itakuwa vizuri uweke hio evidence tujionee jinsi wanavyonyonywa......still hata viatu wanunuliwe??na nguo??
ukikubali kununuliwa vitu vidogovidogo huna choice zaidi ya kukubali mnunuaji kakuletea nini.....otherwise kanunue mwenyewe kwa hela yako hutapangiwa.
 
hao jamaa wawili waliomzunguka si mchezo......naamini kaja nao hao sio wabongo.....
Huyo wa kulia anaitwa Wandiba yy ni proffesional bouncer ..wasanii wengi wakutoka nje jamaa ndo huwa anakuwa bodyguard ,may b huyo Bonge anaweza akawa ameshuka nae
 
hizo ni posture za performance; binafsi sijaona utata katika hicho kilichoendelea kati ya madam na aliyeoa na kutaliki kwa mzee mwalubadu; mzee yule mfupi maarufu kwa kuvua ngadu.

utata nilioona binafsi ni hiyo
para tata kuna utatata

je, una maanisha wote wawili walishindana kuchafua hewa?

aidha ningeshauri upeleke post hii kwenye jamii photos ili ionekane moja kwa moja na kuchangiwa.
 
:confused2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom