Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,227
- 94,693
wadau naomben matokeo ya chamazi mcc fc vs jkt ruv
Jkt 1 - 1 Mcc
Bao la JKT limefungwa na Ally Bilal na MCC limefungwa na Kenny Ally
wadau naomben matokeo ya chamazi mcc fc vs jkt ruv
kausha dogo mpira umeisha,kakague madaftari ya wadogo zako
kausha dogo mpira umeisha,kakague madaftari ya wadogo zako
Pole bi mkubwa...nilikua naona tu unavyowatuliza
Uliadimika kweli mwanamke ulikuwa wapi leo?
Ahsante sana mkuu Watu8, yaani uliona eehh, na majibu ndio haya wameyapata. Watajifunza maana wengine tumtegemeaye halali wala hasinzii.
... naye hadanganyi wala hadanganyiki, yeye ni mwaminifu.
Asante Mungu kwa matokeo ya leo.
Ninalo ombi moja tu, saidia kesho Yanga iifunge Mtibwa Sugar, kwa heshima ya jina lako, maana tunaokutegemea tukifungwa, wewe unaonekana ni Mungu usiyeweza, lakini tunaposhinda sifa na utukufu tunakurejeshea wewe. Asante kwa kuwa umesikia na utatenda kwa kadri ya mapenzi yako; na kila asomaye aseme: AMINAAAA!
Amina... Maana yeye alisema ombeni nanyi mtapewa. Kesho hawezi kutuacha yatima.
Please mwenye matokeo pale mkwakwani na morogoro?
wadau naomben matokeo ya chamazi mcc fc vs jkt ruv
wadau naomben matokeo ya chamazi mcc fc vs jkt ruv