Libyan “humanitarian” war creates humanitarian crisis

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Interesting observation!
Libyan "humanitarian" war creates humanitarian crisis

libya_boat_refugees_400.jpg

13 May 2011
By Glenn Ford
Black Agenda Report

Under the conditions of a civil war that has been nurtured, armed and funded every step of the way by the US and its allies, it was totally predictable that the western intervention would put civilian African workers at terrible risk.

Europe and America's ghastly military intervention in Libya's civil strife – supposedly for humanitarian reasons – has created its own humanitarian crisis, especially for Black African migrant workers trapped in that country.

Whether by death at sea or by lynching at the hands of U.S.-backed "rebels," the death toll among migrant workers and their families is certainly in the thousands – although the U.S. superpower and its European allies seem not to care in the slightest.

Dead Africans – whether Arab or sub-Saharan, Muslim or Christian – are of no consequence to the rulers in Washington, Paris, London and Rome,
who seek to strengthen their grip on the region and its resources by force of arms. In their mouths, "humanitarian intervention" is an oxymoron.

For the 72 Black passengers of a rickety vessel that ran out of fuel shortly after leaving Libya in late March, there was no humanity in NATO's intervention. All but 11 died from thirst and starvation during 16 days of agony in the Mediterranean Sea.

At one point, they passed very close to a NATO aircraft carrier, almost certainly the Carl Vinson. Two warplanes buzzed the stricken ship as the Africans on deck held up their babies to show their distress. But then the planes went back where they came from. The NATO fleet could not be bothered with rescuing otherwise doomed Africans – even though NATO claims the purpose of its mission is to save civilian lives.

Clearly, the Black American commander-in-chief did not give his sailors and flyers the impression that Black lives matter. The dead included men, women and children from Ethiopia, Sudan, Eritrea, Ghana and Nigeria.

At least 800 other refugees from Libya are presumed to have died on the high seas last month. Add to that, many of the 600 onboard a vessel that sunk just off the Libyan coast, this week.

According to the United Nations, about 750,000 refugees have left Libya since the rebellion broke out more than two months ago. But there were more than three million foreign workers in the country at that time, one and a half million of them Black Africans who were relentlessly hounded and hunted by racist lynch mobs.

The rebel's political leadership and their backers in NATO dismissed out of hand an African Union cease-fire proposal that would have opened a safe corridor for refugees to escape. Under the conditions of a civil war that has been nurtured, armed and funded every step of the way by the U.S. and its allies, it was totally predictable that the western intervention would put civilian African workers at terrible risk. At best, NATO is guilty of depraved indifference to human life – as are the western news media that act as cheerleaders for the superpower aggression.

Which reminds us of the U.S.-backed Ethiopian invasion of Somalia, in late 2006. The same "humanitarian" interventionists that now hold sway under President Obama, applauded the Somalia invasion as "humanitarian." Instead, it resulted in what the United Nations called "the worst humanitarian crisis in Africa." The U.S. didn't care about civilians then, and it doesn't now. Washington's cynicism is an affront to the very idea of civilization.

Source:

NB: I think the blame should also be directed to those African governments/leaders who absolved themselves of their responsibilty of protecting their own citizens in times of crisis. Asian and European citizens in Libya were all evacuated by their governments while the majority of Africans were virtually left to themselves. Shame on African leaders!
 
I think the blame should also be directed to those African governments/leaders who absolved themselves of their responsibilty of protecting their own citizens in times of crisis. Asian and European citizens in Libya were all evacuated by their governments while the majority of Africans were virtually left to themselves. Shame on African leaders!

Nakubaliana na wewe kwa hili, lakini unasahau kuwa uwezo wa hizo nchi zinazopiga mabomu kulinda civilians ndizo ambazo zingekuwa msatari wa mbele kuhakikisha inawaondoa ambao hawahusiki katika mzozo huu kabla ya kuanza kudondosha mabomu yao, na kuhamisha lengo lao kulinda raia ambao wako kwenye hatari ya kufyekwa na "dikteta mwendazimu"na kuwa kumwangusha mtawala wa Libya.

Kwa kiasi fulani unaanza kuelewa lengo la hawa wababe sasa. Na utafahamu vizuri zaidi lengo lao likifanikiwa.

Nchi za kiafrika hazijali wananchi walio ndani ya nchi zao,watajali walio nje?
Hawa West na US wanaongeza ukali tu wa maumivu kwa hali ambayo tayari ni ngumu kwa waafrika na nchi za kiafrika.

Nategemea watu wengi karibuni hawatahitaji darubini kuona uovu wa nchi hizi babe katika kulazimisha "globalisation yao" ambayo ni one-way!
 
Kwa kiasi fulani unaanza kuelewa leo la hawa wababe sasa. Na utafahamu vizuri zaidi lengo lao likifanikiwa.
We kijana unajua unazungumza na nani? Yaani kwa mawazo yako yoote unafikiria ni jukumu la NATO kuwalinda waafrica waliokuwapo Libya? Kama una mawazo hayo, basi shauri yako!
 
We kijana unajua unazungumza na nani? Yaani kwa mawazo yako yoote unafikiria ni jukumu la NATO kuwalinda waafrica waliokuwapo Libya? Kama una mawazo hayo, basi shauri yako!

Mzee wangu najua ni jukumu la rebels kuwachinja kama kuku.

Inapokuwa ni natural disaster hawa wababe hujitokeza mbele kupeleka misaada lakini sio katika hii man made disaster?

Mzee wangu nani ametengeneza hii humanitarian crisis? na kwa sababu gani?

Nimesema nakubaliana na wewe katika kutowa lawama kwa viongozi wa Afrika...hili hukuliona? au unapenda "spinning"?...Mzee wangu,isome tena post#2.
 
Mbona unataka kupindisha mambo? Matatizo yetu waafrica mara nyingi huwa yanatokana na kutokukubali majukumu. Yaani licha ya kutawaliwa na kuchukuliwa kama watumwa karne na karne bado tunafikiria hao waliotufanyia hivyo hii leo wanao wajibu wa "kutuokoa"?

Najua unamsapoti Gaddafi, lakini pole. Sina tabia ya kuunga mkono mtu eti tu kwa sababu ni mwafrica. Tabia hiyo nilishaiacha miaka mingi iliyopita! I support neither NATO nor Gaddafi on this. But that does not mean I am less pro-Africa than you are. I hope you understand.
 
Mkuu.
Mimi simsapoti Gaddafi kama unavyofikiria.
Ila naelewa kuwa Gaddafi amejitahidi sana katika kupinga ubeberu wa West na US..hata kama ametawala miaka 42 lakini na maendeleo aliyoyaleta Libya ni ya kupigiwa mfano.wananchi kama jamii imenufaika na rasilimali za nchi pia amezisaidia nchi za kiafrika na AU.

Mbali na vikwazo na kupigwa vita kichini chini na West ,US na nchi nyengine za kiarabu, jamaa amekuwa hapindishi kauli,anasema anachokifikiri na pia hutekeleza anachokiamini....Pia siamini kama yeye ni malaika, ana madhambi yake.

Unasema huisapoti NATO sawa lakini unasahau kutueleza kutokana na uzoefu wako na utaalamu wako wa mambo ya dunia vipi West na US wanavyotunyanyasa na kutupandikizia matatizo katika nchi zetu kwa maslahi yao.

Katika haya yanayoendelea Libya mimi nawasikitia walibya jinsi wanavyoingizwa mjini na West na US bila kulitambua hilo na sio kuwa namsapoti Gaddafi. Libya tayari walianza process ya political reforms ambayo ingeleta katiba mpya na kuimarisha taasisi ,asasi za kiraia.

Unachosema kuwa matatizo ya kiafika yanatokana na viongozi kushindwa au kuepuka majukumu, hili naliafiki. Iko pia sehemu ya matatizo yanayosababishwa na hawa wababe na hasa katika kujenga utegemezi na kutuwekea viongozi vibaraka.
 
Mzee wangu najua ni jukumu la rebels kuwachinja kama kuku.

Inapokuwa ni natural disaster hawa wababe hujitokeza mbele kupeleka misaada lakini sio katika hii man made disaster?

Mzee wangu nani ametengeneza hii humanitarian crisis? na kwa sababu gani?

Nimesema nakubaliana na wewe katika kutowa lawama kwa viongozi wa Afrika...hili hukuliona? au unapenda "spinning"?...Mzee wangu,isome tena post#2.

Kijana cool, mtazamo wako ni sahihi kabisa, kwa nyongeza tu ni kuwa ni bahati mbaya kwa viongozi wa kiafrica kuwatetea waafrica hata kwenye mambo wazi kama ya libya kwa kuogopa kunyimwa misaada. Vita ya Libya ilipoanza utakumbuka AU walikataliwa kueleza msimamo wao UN kwa kisingizio kwamba azimio limeshapitishwa. Chukua nchi za kiarabu, ndio msingi wa azimio la UN kwa sababu waliridhia kwa hiyo kubambikiwa kuwa ndio walioomba raia wa Libya walindwe kumbe wenzao wana mambo yao. Mwisho ona sasa wanavyomuwinda Gaddafi kama swala? Huwezi amini lakini ni vigumu sana kuwafumbua macho waafrica na hasa viongozi wetu ambao wamewekwa madarakani na wakubwa nawako kwa pay role zao.
 
...Unasema huisapoti NATO sawa lakini unasahau kutueleza kutokana na uzoefu wako na utaalamu wako wa mambo ya dunia vipi West na US wanavyotunyanyasa na kutupandikizia matatizo katika nchi zetu kwa maslahi yao...
Mukulu nakupata usemayo lakini hapo kwenye nyekundu naomba kutofautiana kidoogo.

Je sisi wenyewe waafrica hatuna lawama ya kukubali kunyanyaswa? West and US wanaweza kutupandikizia matatizo katika nchi zetu in collusion with our leaders. Hii inaonekana kila kona barani Africa. Kwa hiyo nafikiri ni jukumu letu sisi wenyewe kuamka na kujilinda dhidi ya njama na hujuma za wakoloni na mabeberu.
 
Lawama zipo na zinastahiki juu yetu pia, viongozi wetu,wananchi, mimi na wewe pia...au wewe si mwafrika?
Lakini lawama pekee hazitoshi,hazitatusaidia kuondokana na tatizo. Pendekeza njia ambazo zitatusaidia kuondokana na tatizo hili.
Ndio hapo juu nikasema Gaddafi ameonesha njia katika hili la kujilinda na njama za wakoloni na mabeberu hapa sizungumzii madhambi yake yanazungumzia ushujaa wake.

Yaani wewe bado una imani na AU hii ya leo?
Mkuu
Inawezekana AU hii ya leo haijafanya kazi zake vile inavyopasa au tulivyotarajia ifanye.
Kujenga ni kazi ngumu kuliko kubomoa....Je kwa uoni wako tutaipata vipi AU ambayo wewe utaridhika nayo?
Pale penye udhaifu wa UN , EU, AU au EAC utapendekeza taasisi hizo zifutwe? Au utapendekeza ziboreshwe kwa kuondoa mapungufu yaliyopo?

Unasahau kuwa AU ni nchi nyingi,zenye kuongozwa na walafi,vibaraka na wanaojali ni wachache lakini kutokuwa na chombo hiki kabisa pia haitatusaidia,ndio itakuwa rahisi zaidi kwa haya "mapapa" kutumaliza.

At least AU wamepiga kelele katika hili la Libya, pia kupendekeza njia ya kutatua mzozo huo katika mtazamo wa "kiafrika" lakini wababe wana agenda nyengine, solution ni ile tu wanayoitaka wao.
 
...Pendekeza njia ambazo zitatusaidia kuondokana na tatizo hili...
Viongozi wa awali wa Afrika (ikiwa ni pamoja na Nkrumah, Nyerere, Cabral na wengine wengi pia wasomi na wasanii) walishatoa mapendekezo mengi juu ya usuluhishi wa matatizo ya bara hili lakini waliyoyasema na kuyaandika yamepotelea 'hewani'. Sidhani kama kuna jipya ambalo halijasemwa. Waafrika ni kama vile hatutaki kuamka, hata baada ya miaka 50 ya "uhuru"!

...At least AU wamepiga kelele katika hili la Libya..
Ile kamati iliyoundwa kusuluhisha mgogoro, "ad-hoc team" ambayo ilikuwa na AU Commission chairperson Jean Ping, maraisi Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania, Dennis Sessou Ngueso (Republic of Congo), Amadou Toumani Toure (Mali), Jacob Zuma (South Africa) na Museveni sidhani kama ilikuwa na ubavu wowote. Kwanza mwenyekiti wa sasa wa AU ni Obiang Nguema wa Central Africa, hapo tunategemea nini? Ukiwafuatilia hawa viongozi utaona wote wamejaa uozo wa namna flani!
 
Sasa Mkuu,
Tutapata wapi kiongozi ambaye ni malaika?
Kama nilivyosema kulalamika pekee haitatusaidia kuondoa matatizo yetu.
Inahitajika kuwaamsha wananchi kama viongozi hawataki kuamka, lakini kukubali tu kuwa hali iendelee kama ilivyo basi ni kukubali kuwa vidagaa wa hawa "mapapa" kwa miaka mingine 100.

Naomba uanze kumwaga shule kwa watu wanaosherehekea na kufurahia "viongozi" wetu kufanywa vikaragosi. wananchi wakiamka basi na viongozi itawalazimu kutoka usingizini.
 
...Naomba uanze kumwaga shule kwa watu wanaosherehekea na kufurahia "viongozi" wetu kufanywa vikaragosi. wananchi wakiamka basi na viongozi itawalazimu kutoka usingizini.
Tatizo lipo kwenye mfumo mzima wa elimu. Inaonekana kama vile viongozi wa leo hawataki wananchi waamke. Kinachonishangaza, uongozi wa leo ni uzao wa zama za mapinduzi (lakini ndio hao hao waliopindukia kuwa kikwazo cha mapinduzi halisi).

Nakumbuka miaka ya sitini na sabini shuleni tulifundishwa na kuhamasishwa kujitambua na kujivunia uafrica. Sijui kama leo hii vijana hili wanalijua au kulifuatilia. Enzi hizo bara la Afrika lilikuwa limekumbwa na misukosuko mingi ambayo ilitoa changamoto ya kutaka kujikwamua toka, mfano; kwenye ubaguzi wa rangi, vita vya wenyewe kwa wenyewe, mapinduzi ya kisiasa (coup d'état) na hata ujinga, maradhi na umasikini. But somewhere, somehow, all this zeal got lost. Now, what I witness is the fact that the process of 'decolonizing the African mind' is stampeding.

Tunachosahau ni kwamba African liberation is not over yet. Nafikiri Nyerere wakati flani aliwahi kusema kitu kama 'the last stage of liberation is mental liberation. And that is the hardest one".
 
Tatizo lipo kwenye mfumo mzima wa elimu. Inaonekana kama vile viongozi wa leo hawataki wananchi waamke. Kinachonishangaza, uongozi wa leo ni uzao wa zama za mapinduzi (lakini ndio hao hao waliopindukia kuwa kikwazo cha mapinduzi halisi).

Nakumbuka miaka ya sitini na sabini shuleni tulifundishwa na kuhamasishwa kujitambua na kujivunia uafrica. Sijui kama leo hii vijana hili wanalijua au kulifuatilia. Now, what I witness is the fact that the process of 'decolonizing the African mind' is stampeding.

Tunachosahau ni kwamba African liberation is not over yet. Nafikiri Nyerere wakati flani aliwahi kusema kitu kama 'the last stage of liberation is mental liberation. And that is the hardest one".

Now you are talking, Sir.

Sasa mtu hazina kama wewe kwa nini unasita kutoa elimu ya "mental liberation" hapa JF?
JF ni plat form moja wapo ya kuanza hii last stage.

Ni wazi umeshuhudia kama unavyosema decolonizing of african mind imeshika kasi. Hata wachangiaji wengi hapa JF,wanajiona kuwa wao si katika waafrika au sijui niseme watu wamekata tamaa kabisa wanahisi mwafrika ni mtu wa kutawaliwa tu au asiyeweza kufanya lolote la maana.
Wanaofikiria haya,wanajisahau kuwa wao pia ni waafrika na kama wameamka au wanajielewa au wanaelewa mambo inawapasa wasitosheke hapo, wafanye juhudi ya kuamsha waliolala.

Tunapokata tamaa na kujiona kuwa hili la kuamsha umma halituhusu, nani atafanya kazi hii?
Watu wanapokuwa na mawazo ya kuwa haiwezekani kuwaamsha waafrika wengine, ndio tunaishia kwenye 10% na mtu kujali tumbo lake na familia yake.
Ni kazi ngumu lakini inawezekana, kama hao wa miaka ya 50,60 na 70 waliweza kwa nini waafrika wa leo tushindwe?

Umeona kina Msekwa wanalalamikia JF kuwa inawabamiza, sasa JF ikitumika pia kama chombo cha kuamsha umma na hata viongozi bila ya "kusiasisha" kuna uwezekano mkubwa wengi wataupokea wito wa kujitizama upya na kujenga Taifa badala ya umimi.

Kama mapinduzi hayawezekani basi japo incremental reforms kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom