Li wapi fagio la chuma la Mzee Ruksa?

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
183
Kwa hali hii inayoendelezwa na sera za ANGUKA (Ari, NGUvu na KAsi ) Mpya, zinanipa hasira kutaka kujua lile fagio la chuma lipo wapi kuwafagia hawa wabadhirifu, mafisadi, manyang'au wanaolipeleka Taifa letu katika sera za kubaguana yaani wenye nazo na makaputi.

Nauliza tena Fagio La Chuma lipo wapi? Au limepata kutu na kuvunjika?
 
Mkuu mkaa Mweupe, wewe uko nchi gani?! Una kumbukumbu yoyote hilo fagio lilishafagia uchafugani? Mbona lilivunjika na vipande vyake viliyeyushwa kwa ajili ya kazi zingine ndogondogo na za hovyo hovyo hata kabla ya kuanza kufagia!
 
Kipindi cha kati nilikuwa pembeni kidogo na mambo ya siasa ila kwa sasa hii siasa inaharibu mipango yote ya maendeleo na watu wamekuwa wabinafsi sana.
 
Back
Top Bottom