Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,310
- 105,640
Nimeambiwa hii na mshkaji kwamba kuna hii microfinance loans organization through Kiva.org, wenye haja ya kupata mkopo wanaweza kupata na wanaotaka kukopesha wanaweza kukopesha.
Naambiwa It is pretty straight forward, you fillup credit with your credit or debit card through paypal, choose where you want to lend money.
Read the profiles and select the person or a group who you want to lend money to. The only thing is you don't get interest on it. Its a kind of charity but you get your money back.
When I asked "And how can you ensure they will pay back?" I was told "Its kiva's job to do so they have a safety net." which is not entirely satisfactory but I guess one has to read the fine print in the terms of agreement to get the full picture.
Kuna mtu yuko familiar na hii network au nyingine kama hizi? Zinaweza ku make a difference katika kuwapatia watu seed money.
Siyo kila siku kupiga kelele za anti-ufisadi tu, mkopo wa hata $ 200 unaweza kufanya a big difference to the right person/ group.
Mitaa mitaa ya India na Bangladesh wadosi wanafanya kweli sana tu na people powered Microfinance networks za aina hii.
Any experiences / thoughts kuhusu bongo?