Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa.

Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka namaliza sikuwahi toka kumi bora pia nilikuwa nasoma madrasa huko kijijini hivo baba yangu alitegemea kuwa nitakuwa shehe mkubwa na pia hata mwalimu wa shule nitafika mbali na nikawa mfano kwa ngugu zangu wengine.

Nilivomaliza darasa la saba ndani ya wiki mbili nilienda kuchunga nikachelewa kurudisha mifugo nyumbani sababu ya michezo.

wakati narudi njiani nakutana na mzee anakuja kunipokea akiwa na fimbo za kutosha mkononi, nikakimbia ndo ukawa mwanzo wa kuondoka nyumbani, baada ya miaka mitatu narudi nyumbani na msalaba shingoni, hakuamini macho yake.
 
Mpwayungu ktk ubora wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom