Let us change our lives!

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,391
3,402
LET US CHANGE OUR LIVES THROUGH VOTE! HOW?JUST LISTEN...........................
Wadau wenzangu kwanza kabisa naomba mnipokee humu jamvini,ni mgeni tena bi dada,hoe
mmenipokea kwa moyo mkunjufu kabisa,nikikosea nitashukuru nikikosolewa kwa upendo
na kuelimishwa hakika tutakuwa pamoja milele.
Sasa,ni kwamba nimeona wanajamii F wenzangu,bila kuwaelimisha wenzetu waliolala
Tanzania nzima 2015 Kutakuwa na kazi kubwa kujikomboa,so what to do,is to join our efforts
together by Educating those who dont know the meaning of change!
kwanza,kwa kuwafikishia ujumbe viongozi wetu wa Chadema,ambao kwetu sisi tumeona
ndo kimbilio letu kwenye mageuzi ya kweli,kumbukeni hapa tunapambana na mtandao wenye
mapesa lukuki ya Ufisadi and we have NOTHING,SO THROUGH our unit we can make change
kwa kuanzisha mfuko maarumu wa kuchangia chama chetu kudogokidogo,kama mia tano
.elfu moja,ivyo ivyo kwa lengo la kufikisha ELIMU YA URAIA mpaka vijijini ambapo naamini
kuna watanzania wengi ambao hawajui lolote na wanadhani maisha waishio ni mapenzi
ya Mungu kumbe ni mapenzi ya kifisadi! naomba tuondoe fikra potofu zozote,kumbuka
kwenye mageuzi yoyote,nguvu,akili,mali na mshikamano ni muhimu sana ili kufanikisha
lengo lililokusudiwa,kwa maana nyingine ni kwamba tuanze sasa mbinu zote za kukitoa
chama cha kijani mana kimeshindwa kuwaletea wananchi maendeleo yale yaliyopasa
tuanze kuunda KAMATI ndogo ndogo na kimyakimya,kwa jili ya kufanikisha Elimu hiyo!
kumbukeni jamani mwaka 2015 u karibu!
Together we can make WONDERS,Arusha ARUMERU BEING AN EXAMPLE,WE ARE COMING DAR!
AKSANTENI,NAOMBA KUWASILISHA.
 
Back
Top Bottom