Vurugu inayoendelea zanzibar inanikumbusha wimbo mmoja wa zamani wa Chakachaka Ivone uitwao let them go,nilikuwa naupenda kwani nildhani enzi hizo alikuwa anamwimbia Mandela aachiwe.Ni sawa na Zanzibar:Let them go let them go let them go,to their children,to their family, to their roots,let them go..............Mwenye huo wimbo auweke mzima,una logic sana kwa hali ya sasa ya Zanzibar,why do we cling to them,if they want to go let them go.