Let them go

OMEGA

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
693
300
Vurugu inayoendelea zanzibar inanikumbusha wimbo mmoja wa zamani wa Chakachaka Ivone uitwao let them go,nilikuwa naupenda kwani nildhani enzi hizo alikuwa anamwimbia Mandela aachiwe.Ni sawa na Zanzibar:Let them go let them go let them go,to their children,to their family, to their roots,let them go..............Mwenye huo wimbo auweke mzima,una logic sana kwa hali ya sasa ya Zanzibar,why do we cling to them,if they want to go let them go.
 
Let him go
 
nakubaliana nawewe,mambo mengi ambayo mwl alituachia tulishaharibu sababu ya ubinafsi wetu,hili la muungani ndo tujidai kuling'ang'ania balaaa.naamini kunawatu wanfaidika nalokwa sana,
hebu tujikumbushe,
azimio la arusha li wapi sikuhizi?
sera ya ujamaa na kujitegemea i wapi leo? na mambo mengi kibao ambayo kama tungeyalinda kama tunavyolinda muungano,tusingefikia hapa tulipo.tuache unafiki.
 
Wimbo ulikuwa unaitwa don't let him go. Ni kinyume na ulivyomaanisha na mada yako.
 
You knew that you were doing wrong
To love another woman's man
You're always there when he needs you
Where is he now
You knew that he will never leave
Mama of his baby
Baby he's killing your love
Are you really happy

Chorus
So let him go let him go let him go
To his children
To his family
So let him go let him go let him go
To his children
Give him freedom

So take a good look at yourself
Don't you feel guilty
You're only his part-time girl does this make you worry
Shintja guluva
Mus'ukulala wena
Shintja guluva woo

Chorus x2

Shintja guluva
Mus'ukulala wena
Shintja guluva woo

You knew that you were doing wrong
To love another woman's man
You're always there when he needs you
Where is he now

Chorus x2
 
Back
Top Bottom