Leo tbc vipi?

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
Wakuu mimi huwa kila siku saa mbili usiku napenda kuangalia habari za nyumbani kupitia TBC1 ndani ya DSTV. Leo nashangaa channel 143 ya TBC1 haina kitu. Kuna ajuaye kulikoni?
 
Back
Top Bottom