TBC vipi haionekani kwenye kifurushi cha bure dstv

chamaclotus

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
971
1,969
Kwema wakuu,
Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
 
Dstv wako ya sheria za nchi hakuna cha FTA channels.
Hakuna wa kuwatingisha si TCRA wala Wizara ya Habari
 
Kwema wakuu,
Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
DSTV hakuna chaneli za bure, kifurushi kikiisha tu wana block local chanel zote unaachiwa TBCCCM tu
 
Back
Top Bottom