Leo siku ya tatu hakuna Umeme kuanzia kwa Aziz Ali mpaka Mbagala yote

Peter jaluo

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,750
248
Hivi Hawa jamaa .kweli wako kibiashara Leo cku yatatu kuanzia kwa aziz hali mpka mbagala yote kijichi charambe.nk mbona ilishirika bado wamelala sana je ingekuwa maeneo ya msasani masaki Hii kitu kingekua hivi kweli.
 
Kigamboni yote name matwi take umeme zii. Sijui wanataka tusimame barabarani ndo walishughulikie?!! Nchi Hui kazi haifanyiki hadi shinikizo, sijui lini tutafika kwa utaratibu huu. Shughuli zote za kimaendeleo zimesimama kipato kwa watumiaji umeme ni sifuri, taarifa elekezi juu halihalisi ilivyo na nini matarajio hazitolewi.
 
Kigamboni yote na matawi yake umeme zii. Sijui wanataka tusimame barabarani ndo walishughulikie?!! Nchi hii kazi haifanyiki hadi shinikizo, sijui lini tutafika kwa utaratibu huu. Shughuli zote za kimaendeleo zimesimama kipato kwa watumiaji umeme ni sifuri, taarifa elekezi juu ya halihalisi ilivyo na nini matarajio hazitolewi.[Correction]
 
KIGOGO njia ya kuelekea tabata ,na maeneo ya mwembe jando tangu jana mchana hadi muda huu hakuna umeme,mafund wa tanesco au tanesco yenyewe inawezekana imekwishazeeka inaitaj kuundwa upya,waziri husika ambaye serekali imemuamin kwa kumpa wizara inayobeba tasis hii ambayo ndiyo nyenzo kubwa ya maendeleo kwa taifa hili maskin linaotegemea nishat hii kupiga hatua,sijawah sikia hata siku 1 kuwa ameshapita pita humo mabaran na majumban kuwahoj wananch wanakero gani au nin kifanyike kukabiliana na matatizo ya umeme,mfano huko kigambon na mbagara angetembelea mda huu kujionea tatizo n nin,nashangaa tanesco mafund wanaenda vp majumban kulala wakat wateja wao hawana huduma,tena usikute maeneo hayo hamjajuzwa kwanin hakuna umeme maeneo yenu had leo.tanesco inashndwa hata kupitisha gar za matangazo maeneo yenu ili angalau kuwapa moyo kujua tatizo lenu linashugulikiwa,sikubalian na tanesco namna wanavyotoa huduma zao,hawajua had mda huu wameshakosa mamilion mangap na wanaridhika na hali hiyo kuendelea kupoteza mapato
 
Mambo ya kutoweka maslahi ya wananchi mbele hii ni hatari. Nasubiri usikie jibu litakalotolewa ndipo utachoka.
 
Kwa siku tatu sasa kijichi hakuna umeme!mbaya zaidi ni pale maji yanayotegemea awapo wa umeme yanapokosekana!haitakuwa ajabu kuongezeka Kwa matukio ya mgonjwa ya mlipuko!
 
Ndugu poleni sana na hlo tatizo la umeme.. Kiukwel umeongea meng sana ambayo ni ya msingi na muhmu kama tanesco ni kwel wanafanya biashara itabd wayazingatie.. Lkn tatizo kubwa c wafanyakaz wa tanesco bali ni utawala wa tanesco umeshndwa kazi kwa kuyumbishwa na maden ndan ya kampun ambayo maden hayo ni wao wenyewe utawala wanayafanya yawepo kwa KUIBA au kusababisha KUIBWA kwa mali ghafi za kampun... LAKIN PIA USISTAAJABU CKU UKACKIA KUWA UMEME KAKATWA NI MIPANGO YA WATU WANATAKA MAFUTA YA CKU HUSIKA YA KUZALISHIA UMEME YABAKI ILI WAYAUZE kwa kuwa MTANZANIA HUNA THAMAN KTK NCH ILA hela ndo inathaminiwa
 
Hivi Hawa jamaa .kweli wako kibiashara Leo cku yatatu kuanzia kwa aziz hali mpka mbagala yote kijichi charambe.nk mbona ilishirika bado wamelala sana je ingekuwa maeneo ya msasani masaki Hii kitu kingekua hivi kweli.

Poleni sana
 
Jifunzeni Umuhimu wa Generator, Unamiliki simu ya mil 1.5m au jumba la million miambili halafu huna generator ya laki tano.
 
Heri yangu mie na familia yangu tuliohama huko kijichi, maana ilikuwa kero, kama huna generator au hujachimba kicma, ni majanga, kwa taabu niliyopata wakati naishi huko, sina ham ya kurudi, poleni sana
 
Back
Top Bottom