Leo nimeonana na The Boss……………..!

sometimes unaweza kusoma maandishi ya mtu fulani halafu ukaunganisha na maongezi ya jamaa flani ukajua ni memba wa jf kumbe sio...ishanitokea
 
Mtambuzi atakuwa alimaanisha 'Surinami' . Hilo ni koloni la waholanzi.
Mtambuzi uishiwi ucheshi..leo tupo na chotara The Boss eeh..asante wee Gustavo:))
BelindaJacob ..................Suriama ni mtu aliyechanganya damu ya makabila mawili..............kama wewe hapo baba yako ni Msukuma na mama yako ni Mchaga basi tutasema wewe ni suriama wa Kisukuma na Kichaga
 
Last edited by a moderator:
kumbe ceo mwenyewe ni ke
hapo umeumia mtu wangu.

Kumbe ni suriama aliyechanganya damu ya Kiholanzi na Kitanzania. Mama yake ni M-TZ na baba ni Mholanzi. Wakati anaripoti hapa kazini kwetu kama CEO wetu mpya akitokea nchini Uingereza yalipo makao makuu ya kampuni yetu nilikuwa nimesafiri kikazi na leo hii niliporipoti kazini ndio nimetambulishwa kwake rasmi. Nilipata muda wa kubadilishana naye mawazo kwa muda mfupi………..Kwa bahati mbaya hajui Kiswahili vizuri, lakini nimemuahidi kumfundisha lugha hiyo. Huyu atakuwa ndiye The Boss wetu mpya aliyekuja kuchukuwa nafasi ya Boss wetu aliyemaliza muda wake.................................
 
Back
Top Bottom