Leo ni Valentine: Jaza mafuta kituo cha Total, upate Zawadi ya punguzo la bei ya mafuta.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,621
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote

Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.

Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo cha mafuta cha Total, utapatiwa punguzo la TZS 70 kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjour lililoko kwenye kila kituo cha Total, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.

Thamani ya mafuta ya Total ni kitu kinachoitwa Total Excellium. Hizi ndizo faida za excellium.

Diesel PREMIER - EFFIMAX
Petrol PREMIER - EFFIMAX
EXCELLIUM - EVOLUTION Diesel
EXCELLIUM - EVOLUTION 98
Benefits of EXCELLIUM

BENEFITS OF EXCELLIUM
Excellium benefits

1. Better engine protection (1)
TOTAL EXCELLIUM is an enhanced fuel:

It protects against corrosion.
It avoids the ageing of the fuel as well as deposits in the tank.
It limits the wear on the engine's sensitive parts.
2. Less consumption (1)
TOTAL EXCELLIUM makes it possible to obtain an average fuel consumption reduction of 3.7% based on the conditions (city, road…):

From the first fill-ups, it cleans your engine and helps to keep it clean.
It limits internal friction.
3. Less CO2 (1)
TOTAL EXCELLIUM reduces polluting emissions:

It provides for better combustion.
It reduces CO2 emissions thanks to reduced fuel consumption.

For comfort…

TOTAL EXCELLIUM Diesel offers quieter driving thanks to its high cetane number.
TOTAL EXCELLIUM Diesel foams less and makes filling easier.
Kipindi Maalum cha Total Valentine.

P.
 
Attachments

  • Total Tanzania, Zawadi ya Valentines.pdf
    10 MB · Views: 20
Daaah ningelipwa pesa zangu za korosho ningeenda mapema.Lakini mambo yamenigeukia korosho zangu nimerejeshewa.
tapatalk_1545807301423.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote

Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.

Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo cha mafuta cha Total, utapatiwa punguzo la TZS 70 kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjur lililoko kwenye kila kituo cha Total, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.

P.

Niliona ulivopigia debe kile kituo cha Total pale Tegeta kinachoendeshwa kwa mara ya kwanza kwa mfumo wa "DoDo". Umepata shavu Total nini mkuu?

By the way pengine hiyo 70/- mnayonirudishia iko ndani ya bei mlionichaji, mmeiongezea humo humo ili mkirudisha msipate hasara.
 
Nimeshajaza Mlimani City bonjour walikuwa hawajafungua, ila Nina risiti Yangu, nitawafuata
 
Niliona ulivopigia debe kile kituo cha Total pale Tegeta kinachoendeshwa kwa mara ya kwanza kwa mfumo wa "DoDo". Umepata shavu Total nini mkuu?

By the way pengine hiyo 70/- mnayonirudishia iko ndani ya bei mlionichaji, mmeiongezea humo humo ili mkirudisha msipate hasara.
Bei elekezi za mafuta zinapangwa na EWURA, hivyo hili ni punguzo la kweli.
P.
 
Niliona ulivopigia debe kile kituo cha Total pale Tegeta kinachoendeshwa kwa mara ya kwanza kwa mfumo wa "DoDo". Umepata shavu Total nini mkuu?

By the way pengine hiyo 70/- mnayonirudishia iko ndani ya bei mlionichaji, mmeiongezea humo humo ili mkirudisha msipate hasara.
Bei soko petrol ni 2120, Total wanauza 2050. pasco mayalla wengine tunaweka kwa 2070 bila offer kwenye vituo vyenye punguzo mwaka mzima.
 
pasco kwanini mmeamuwa kuwa wabaguzi.kuna agenda gani ya siri
Nadhani sio ubaguzi bali ni business selectivity, ukiwa na vituo zaidi ya 100, ukianza jambo lolote jipya, unaanza na trio ya kuchagua baadhi ya vituo ili kwanza kupima impact, ukiishapata matokeo, labda next time ndipo una roll out vituo vyote.

Wafanyabiashara makini siku zote they start small, kisha ndio wana roll out. Ukianza kwa vituo vyote bila kujua impact, kwanza watu wanaweza kujazana vituo vya Total, na kila mtu kujaza full tank, within minutes, hakuna mafuta, foleni ndefu, badala ya kuwa neema ikageuka kero, hivyo Total Tanzania, wamefanya uamuzi wa busara kuteua baadhi tuu ya vituo.

P.
 
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote

Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.

Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo cha mafuta cha Total, utapatiwa punguzo la TZS 70 kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjour lililoko kwenye kila kituo cha Total, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.

P.

Sawa ngoja nipitie pesa kwanza kwenye ATM
 
Bei soko petrol ni 2120, Total wanauza 2050. pasco mayalla wengine tunaweka kwa 2070 bila offer kwenye vituo vyenye punguzo mwaka mzima.
Ni kweli, bei ya mafuta ya Total yako juu kidogo, ila hata kwenye mafuta, kuna mafuta na mafuta, kwa wanaujua the economics of scales, hawaangalii bei ya kitu, wanaangalia ubora. Mafuta ya Total yenye kiambata cha Total Excellium, they are the best, very efficient, na very economical. Nilikuwa nikienda Moshi kwa gari yangu, najaza mafuta full tank Dar, nikifika Segera, naongeza maana geji inaonyesha below half tank. Juzi kati, during X-mass time, nimejaza full tank pale Total Tegeta, amini usiamini nimefika Segera geji haijafika half tank, hivyo nimekwenda hadi Moshi. Since then, kituo changu ni Total, nikikosa, then PUMA, ndipo nijaza vituo vingine.

P.
 
Wanabodi,
Leo ni Sikukuu ya Wapendanao ya Valentine.
Happy Valentine's Wapendwa Wote

Katika kusheherekea Sikukuu hii, Kampuni ya Mafuta ya Total imeamua kutoa zawadi ya Valentine kwa wateja wake wote.

Unachotakiwa kufanya ni kujaza mafuta katika kituo cha mafuta cha Total, utapatiwa punguzo la TZS 70 kwa kila lita utakayo jaza, na kama umekuja na wife, au mpenzi, mwambie akaingie duka la Bonjour lililoko kwenye kila kituo cha Total, akajichukulie zawadi yake ya upendo wa Valentine kutoka Total.

P.

Baby jiandae mchongo ndio huu.
 
Ni kweli, bei ya mafuta ya Total yako juu kidogo, ila hata kwenye mafuta, kuna mafuta na mafuta, kwa wanaujua the economics of scales, hawaangalii bei ya kitu, wanaangalia ubora. Mafuta ya Total yenye kiambata cha Total Excellium, they are the best, very efficient, na very economical. Nilikuwa nikienda Moshi kwa gari yangu, najaza mafuta full tank Dar, nikifika Segera, naongeza maana geji inaonyesha below half tank. Juzi kati, during X-mass time, nimejaza full tank pale Total Tegeta, amini usiamini nimefika Segera geji haijafika half tank, hivyo nimekwenda hadi Moshi. Since then, kituo changu ni Total, nikikosa, then PUMA, ndipo nijaza vituo vingine.

P.
Hizo ni Marketing blah blah.
 
Back
Top Bottom