Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

Alphonsine

Fanta Diallo

Come back Darling

Asu

Chemsha bongo

Wanapagawa

Nikusaidieje

Kama ulivyo

Tamala

Mos mos

Boss
 
Mimi, beats za Vijana Jazz wimbo wa 'Wivu,' yaani nikisia tu nasisimka na kujiuliza kwanini Tanzania tunatupa vipaji vyetu na kusikiliza ujinga wa bongo fleva?
 
Clubbin by Marques Houston
Make it rain by Fat Joe
X-izzo by Jay Z
Ruff riders anthem by DMX
 
kuna beat ya wimbi sijui wa busta ryhmes sijui nimepatia jina ila una maneno "baby if u give it to me i give it to you" alimshirikisha Mariah Carrey
 
kuna beat ya wimbi sijui wa busta ryhmes sijui nimepatia jina ila una maneno "baby if u give it to me i give it to you" alimshirikisha Mariah Carrey
Hujakosea aise, wimbo waitwa "I know what u want" by Busta Rhymes ft. Mariah Carey. Wanivutia sana kuusikiliza pia huo wimbo
 
Back
Top Bottom