Beats by Lucci na marco chaliHivi kapika nani like beat?
Hii huwa ikianza tu huwa nasisimkwa mwili mzima, kinachofuata hapo ni kutema tu vipandeDear Mama - Tupac
Ukinikuta waweza sema nilizaliwa Califonia, ila hii ngoma ni best among ma best n untedious songsunaanza kutema vipande vya mistari hahahah
Kaah!hapana!kina moe techniques hapa,d knob....hapo tutaenda sawa!hahaa nilitegemea uweke ray c -upo wapi,nataka niwe na wewe milele
Hujakosea aise, wimbo waitwa "I know what u want" by Busta Rhymes ft. Mariah Carey. Wanivutia sana kuusikiliza pia huo wimbokuna beat ya wimbi sijui wa busta ryhmes sijui nimepatia jina ila una maneno "baby if u give it to me i give it to you" alimshirikisha Mariah Carrey
Hate me now na nas escobar
Ni wa Doro kamshirikisha KirobotoRadhia juma nature