Leo ni siku ya kukumbuka kifo cha hayati Mwalimu J.K. Nyerere

wewe ndio tukuulize unafanya haya kwa maslai ya nani? kila mtu mwenye akili timamu anajua Nyerere ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo watanzania
majority ya wenyeji wa mkoa wa mbeya wana akili kichwani na hawatumii makalio kufikiri ,NAKUSHANGAA WEWE AKILI MBOVU UMEITOA WAPI? au hilo jina ulipewa kwa heshima ya daktari aliyekuwa kijijini kwako wakati unazaliwa?
 
Mwalimu ni mfano wa kiongozi bora sio bora kiongozi. Hakuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali, aliwathamini na kuwatembelea hata maskini wa vijijini, ni mwenye rehema. Mwanga wa milele umwangazie Ee Yehova.
 
Wayahudi si maadui wa wakatoliki wewe!
Hata siku ya Ijumaa kuu, wakatoliki dunia nzima huwaombea wayahudi baraka kibao kwa Mungu.
Tuje kwenye hoja.
Nyerere alitibuana na Israel kwa sababu ya msimamo wake wa kuunga mkono wapalestina chini ya PLO, na PLO walikuwa na tawi lao hapa kwetu.
 
Hii ilitokea baada ya Israel kuishambulia Iraq mwaka 1973 kwa kile ambacho Mosad walidai waligundua Iraq ilikuwa inatengeneza bomu chini ya ardhi kwa ajili ya kuishambulia Israel mara baada ya majaribio kadhaa ya kuipiga Israel kushindwa. Israel walidai kuwa waliuteketeza kabisa mtambo wa kufyatua mabomu uliokuwa ukitengenezwa.

Kama kawaida ya mwl alitangaza kufuta mahusiano ya kibalozi na Israel kwa vitendo vya kibabe vilivyokuwa vikifanywa na Israel katika nchi za kiarabu hususani kupora ardhi ya nchi za Misri, Syria, Lebanon, Jordan, na Palestina mara baada ya vita vya 1967 kwa maelezo kuwa mipaka ya nchi ya Israel ilifika huko. Nyerere alitaka kuonyesha msimamo wa Kiafrika kwa matendo yaliyokuwa yakifanywa na Israel na wakubwa wa dunia kukaa kimya km hawaoni.

Baba Genesis-Nachangia tu
 
leo ni takriban miaka 13 toka muasisi wa Taifa hili afariki dunia namuombea kwa Mola amlaze mahala pema pepon
Nchi yetu haijapiga hatua yyt toka mwalimu Nyerere aiage dunia kwan viongoz we2 wamekuwa hawana nia nzur na taifa letu. Tizama viongoz wamekalia ufisad na huku taifa likizd kuwa maskini hawana tofaut na yule parmenanent secratary wa shair la " Building the nation" kiukwel nalisikitikia taifa langu kwa jinc lilivyopoteza muelekeo.
Chama cha CCM kinahusika kwa asilimia zt kwan umaskin huu 2lionao umeletwa wao. Leo wanalindana mpaka wamepitiliza nani asiyechua kua Lowassa ni Fisad? Na yupi asiyejua chenge ni fisad 2jiulze hao mafisad wako wap?
Kitu kingine waTANZANIA 2mekalia kulalamika sana na pia 2mekuwa 2na tabia ya KUTOJALI.
Nchin kwe2 yametokeo matukio ya kuhuzunisha yalisababishwa na ASKARI lakn hakuna anayejal syo serikal wala raia.
Ifike wakati 2we na uchungu na nch yt kwan watoto we2 watapata tabu hapo badae. Upumbavu ambao serikal inafanya kila m2 anajua lakn kwa hali 2liyofikia ni bora ukaish Somalia lakn cyo Tanzania.
 
Uandishi wa namna yako haufai,unaweza kuwa na hoja nzuri lakini kwa sababu umeiwasilisha 'kihunihuni' ikawatia uvivu wachangiaji kuisoma yote,next time rekebisha uandishi wako
 
IM PROUD TO BE A TANZANIAN! Hata siku moja siwezi kutamani kuwa Msomali. Ufumbuzi wa matatizo unaanza na wewe, wewe umeifanyia nini Tz.acha kulalama
 
Nchi yetu haijapiga hatua yyt toka mwalimu Nyerere aiage dunia kwan viongoz we2 wamekuwa hawana nia nzur na taifa letu. Tizama viongoz wamekalia ufisad na huku taifa likizd kuwa maskini hawana tofaut na yule parmenanent secratary wa shair la " Building the nation" kiukwel nalisikitikia taifa langu kwa jinc lilivyopoteza muelekeo.
Je unajua nini maana ya maendeleo? Ni kweli hauoni maendeleo yaliyofanyika au ni ushabiki wa kisiasa tu? Kama huoni maendeleo yaliyofanyika ndani ya hii miaka 13 basi una matatizo.
Kitu kingine waTANZANIA 2mekalia kulalamika sana na pia 2mekuwa 2na tabia ya KUTOJALI. .
Afadhali umejijua. Mnalalamika kila kitu. Vijana wengi humu jf mnatawaliwa na ushabiki wa kisiasa, kiasi kwamba mmefika mahali mmekuwa kama mazuzu. Mnafikri hata Chadema wakiingia madarakani kutakuwa na maendeleo ya ghafla. Kuna baadhi yenu hata kazi mmeacha kufanya eti mnasubiri 2015 ccm itoka madarakani ili mpate maendeleo. Sikilizeni....binadamu hatuwezi sawa, ndo maana hata marekani kuna ombaomba. Hatuwezi wote kuishi maisha mazuri kwani kila mtu anawajibu wa kujiletea maaendeleo. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira tu ya watu kujiletea maaendeleo. Badala ya kufanya kazi, kujituma na kuwa wabunifu, mna kaa kupiga majungu tu flani fisadi fisadi etc. Poleni sana.

Eti unafananisha amaisha ya TZ na Somalia, Jamani hivi unafuatilia kweli vyombo vya habari vya kimataifa?
 
Uandishi wa namna yako haufai,unaweza kuwa na hoja nzuri lakini kwa sababu umeiwasilisha 'kihunihuni' ikawatia uvivu wachangiaji kuisoma yote,next time rekebisha uandishi wako

Nirekebishe mdau kwan cjakupata vizur.
 
Back
Top Bottom