Hivi nyie watu...umeme huu mnaouchoma hapa kwenye hii thread mngeielekeza kwa mkoloni si tungekuwa tunamkaribia Mchina?? (.hapa natafuta kesi ........valentinosis mbaya!!)
Aisee wee Maty!
Babu kwishalegea hapa wallah!
Ninaposema Mtiifu ninamaanisha hata kwa mkoloni wangu loh.................(hebu niende kwenye siasa kabla sijang'olewa macho)Na hiyo kesi unayoitafuta, wakili ushampata?
si haoo!! HAPPY VALENTINE si utakuja eeee tuvale.....eNani tena anakuchokoza my Love the nurse? opcorn:
Na Slogan ya Engineer Smasher?
Smash them beers!!
Hahahahahaha afu we ndo ulikuwa wa kwanza kunitakia valentino njema ......................nlivyo kilaza kidogo nikuulize ni wa darasa la ngapi huyo Happy valentine!! Walimu bana .......................Naona unataka kuiharibu valentino yako...........!
Sema taratibu babu asisikie atakunyima hata ruhusa ya kwenda bafu ohoo!!si haoo!! HAPPY VALENTINE si utakuja eeee tuvale.....e
Na Slogan ya Engineer Smasher?
Smash them beers!!
Mjukuu naomba tu nikutakie Valentino njema bana ingawa babu leo kawa mkali kwa wajukuu wake!!Hahahahahaha afu we ndo ulikuwa wa kwanza kunitakia valentino njema ......................nlivyo kilaza kidogo nikuulize ni wa darasa la ngapi huyo Happy valentine!! Walimu bana .......................
Its better 2 be with ten beers than 2 be with no beer....Eng. Smasher!
Only quoted!