Leo ni siku ya 3 hakuna mtandao wa voda mkoani tabora.nini tatizo?

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Jamani juzi nimenunua internet ya voda.wakanipa lakini cha ajabu network imepotea mpaka leo haijarudi.tatizo ni nini?hii ni tabora nzima jamani
 
Ship anchor damaged seacom cable off Kenyan coast. Intenet traffic EA region expected to slowdown as result of damage. 5 days ago.
 
Ok, hata huku Ludewa imekata siku tatu mfululizo na pia inakatakata mara kwa mara.
 
Karibu maeneo mengi kuna shida,nadhani wanahitaji kuwapatia wateja taarifa.
 
HAMIA AIRTEL mkuu mambo muswano na kabundle ketu wameturudishia
 
Back
Top Bottom