Tigo mtandao unaleta shida sana leo tena

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,006
Leo tena hakuna mtandao, ni wa shida sana, extremely very slow. Pamoja na kutupa MB 500 za bure for 24 hrs kama kifuta machozi kwa usumbufu wa juzi wa mtandao wenu, lakini muda wake utaisha hata kabla ya kuzitumia kama mambo yenyewe ya mtandao ndiyo hivi!

All in all what we need is the availability of network and not 500 MB offer!

Rekebisha mtandao wenu please
 
Ndo maana Nina line zaidi ya Moja
Upuuzi huu
 
Huu mtandao umekuwa tatizo sana, tarehe 16.12.2023 kulikuwa na tatizo la mtandao wa Tigo Pesa, nilinunua muda wa maongezi kutoka Tigo Pesa, walikata pesa hiyo kutoka kwenye Account yangu ya Tigo Pesa lakini sikupata huo Muda wa maongezi.

Nilipopiga simu Huduma kwa Wateja walikiri kuwa kuna tatizo la mtandao na watarejesha Pesa hiyo punde tatizo litakapoisha, cha ajabu mpaka leo hawajarejesha hiyo Pesa licha ya kuwapigia simu mara kadhaa Huduma kwa Wateja.
 
Umechelewa kujua.

KASI YA INTERNET INATEGEMEA NA MAHALI ULIPO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Tigo ni pasua kichwa ngoja niwapigie Huduma kwa wateja wanitake radhi
Yaani hawa wasenge sitaki hata kuwasikia, nimeoata hasara kubwa mnoo kisa hawa mapimbi, wakati nataka ku cashout ngoma imegoma kisha mtu anapigwa goli. 😡😡
 
Karibu AIRTEL hata Airtel app haipatikani
Nimepiga huduma kwa wateja wa kwanza akanitumia settings ambayo sikuhitaji wa pili akanitumia Airtel app ambayo ninayo
Taabu tupu nasikia voda afadhali
 
Back
Top Bottom