LEO NI BIRTHDAY YA FP kikweli kweli!

uwiiii....nadhani sijachelewa kwenye hii sherehe.....heri ya siku ya kuzaliwa wifi..(nina dalili za kumkubali kaka yako lakini usimwambie mtu..)...hivi vyombo vishaoshwa....?
 
Nimekusikia, nakutumia Police Jamii wakike
 
uwiiii....nadhani sijachelewa kwenye hii sherehe.....heri ya siku ya kuzaliwa wifi..(nina dalili za kumkubali kaka yako lakini usimwambie mtu..)...hivi vyombo vishaoshwa....?
Asante sana wifi yangu mpenzi, hujachelewa wifi, vyombo ndo vinakusubiri wewe.
yaani nakenuaje hapa meno kusikia kakangu yupo mbioni kukubaliwa..................... wiiifii twende nyumbani.............. yaani wala huta-regret, karibu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom