LEO NI BIRTHDAY YA FP kikweli kweli!

ha haaaaaaa, mwanzishaji wa nyimbo mwenyewe moto2012 sijui kama ana habari.
Asante sana mlongo wangu. nashukuru kwa card ya asubuhi, niliipenda sana

Dada nikakamwiliki na mahengu, ndi nimanya hinu!! Pepaayi mlongo ukotoayi kuhyoma!!

Asengwi chapanga kwa kuliwona ligono lwahogoliwi!!
Genayi mambu ga kizungu ne nimanyilepi tikemelayi wuli ligono la lelwiili.

In short, happy Birthday dada!! Mimi na wifi yako PretaTutakuletea kikofia, nepi na lipwani
 
usengwili mlongo wangu, uchelewi lepa ligono lakona mbona? mpela salamu wifi yangu
 
Rafiki na mkwe wangu mpendwa nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa.

Mwenyezi Mungu akupe rehema zake, akuongoze uishi miaka mingi. Uwaone wajukuu na vitukuu wako wakiizunguka meza yako wakati wa chakula.

Na siku atakayoamua urudi kwake akuongoze njia yake ufikie mahali pake patakatifu.

Karibu kwenye foleni ya kulijongea kaburi.

Nakunywa Guiness kwa afya yako mkwe.
 
Happy Birthday Shost FP.
Mungu akupe maisha marefu ili tuweze kupambana na wanaume wa CC,maana wabishi balaa.
BTW HAPPY BIRTHDAY DADA
 
asante sana mkwe kwa mamistari yenye busara....... nasema Amen kwa yote
ila sehemu nyingine ulizonikaribisha hazitamaniki............. Ila ni lazima kila mtu atakaribia
 
Happy Birthday Shost FP.
Mungu akupe maisha marefu ili tuweze kupambana na wanaume wa CC,maana wabishi balaa.
BTW HAPPY BIRTHDAY DADA
Bidada asante sana, hawa wanaume mbona mpaka sasa wameshatujua! wamwulize mwenzao mzee Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom