Leo naomba nimtetee mheshimiwa raisi wangu ndugu J M Kikwete

kwa hicho kipengele cha nne tu Bila ya kuwa na technology hatuwezi kuendelea kwa maana tutashindwa ku-export bidhaa zetu wenyewe. Hivyo angeenda nje kuomba Technology na sio msaada. Nyerere alichokifanya mpaka tukawa na viwanda vingi vikiwemo General tyre na Nyumbu ni kwamba alikuwa anasafiri kwenda kuomba technology na sio misaada ndio maana kama warithi wake wangeendeleza ile sera ya ujamaa na KUJITEGEMEA tungekuwa na viwanda vingi Hai na tunge export bidhaa nyingi sana. Lakini kwenda kuomba misaada ndio yaleyale mtu anakuchimbia kisima cha maji nyumbani kwako halafu anakuuzia maji miaka yote kisa wewe hujui kuchimba na huna vifaa kwanini asikufundishe wewe kuchimba? Angalia gesi inachimbwa kwetu na tunauziwa sisi je, tungekuwa na hiyo Technology sisi wenyewe Tanesco ingekuwa hapo ilipo? Tusingeuza umeme wa ziada nje? Hiyo ni mifano tu ya kutafuta technology na SIYO MISAADA.
Unafahamu kuwa mwanzoni British ndiye aliyekuwa ana teknolojia ya juu kuliko nchi zote za ulaya? unafahamu kuwa aliwahi kufanya maoesho ya teknolojia yake na kualika nchi nyingine kwenda kushuudia? anatambua kuwa tokea wageni wale walimuibia mbritish teknolojia yake? na je unatambua kuwa huo ndo ukawa mwanzo wa kufichwa kwa siri za teknlojia? na je unatambua kuwa ni vigumu sana na kwa kuifundisha nchi nyingne teknolojia yake labda kwa makubaliano maalumu? na je unatambua kuwa nchi za magharibi haziwezi kupromote maendeleo yako kwa kukupatia teknolojia yao kwa sababu wanaamini na wewe utaendelea na watakosa nafasi ya kukunyonya? Na je unatambua kuwa mwl Nyerere alikuwa anapewa teknolojia na nchi za kijamaa wakati ule wa vita baridi ya ubapari na ujamaa? Na je unatambua kuwa cku hizi ujamaa haupo tena? NADHANI UMENIELEWA, SASA TUFANYAJE KUIKOMBOA TZ YETU?
 
Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu akatumia muda wake mwingi kwenye keyboard kuandika huu ushuzi, au upo field ya typist course?

bINAFSI SIAMIN KAMA KUNA MTANZANIA ANAYEJIITA MZALENDO ANAWEZA AKA-ARGUE KAMA WEWE, NI KWA NINI KILA SIKU MNAPENDA KUSIKIA MAMBO YA KULIWAZA NAFSI ZENU PASIPO NA UKWELI, KWA NINI KILA SIKU MNAWAZA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WENGINE? NILITEGEMEA MTU KUNIAMBIA KUWA CHANZO CHA HAYA YOTE NI MFUMO ULIOPO NA TUJITAHIDI KUUBADILISHA KATIKA KATIBA MPYA IJAYO, BADALA YAKE ETI MTU MZIMA ANA ARGUE KAMA WEWE ULIVYOARGUE NA KUJIITA MWANA MABADILIKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimejaribu kurudia kusoma mara2 kuelewa mwandishi alidhamiria nn, nimegundua mtoa thread mwanzoni mwa uzi alitanabaisha kuwa yuko tayari kumtetea rais wake. Na kwa msingi huo jamaa akajipanga kulinda maslahi ya JK...

Natofautina nae kudai kwamba Rwanda imepiga hatua eti kwa sababu ya eneo dogo kijografia hii si kweli, Rwanda iko hivyo ilivyo kutokana usimamizi mzuri wa rasilimali unaoambatana uwajibikaji usioruhusu ufisadi.. Tanzania ni kubwa lakini ukubwa wake isiwe kigezo cha kupiga hatua kimaendeleo, kwa sababu kila eneo lina wasimamizi wa shughuli za maendeleo lakini pia walinzi wa rasilimali,,kwa ustawi wa taifa.
 
Kwanini uombe wewe toka kifua mbele na unachokiamini. Hii kuomba nikama unahitaji huruma fulani
too low!

ni kwa sababu nilitaka kujitenga na wasaidizi wake na kusimama kama mtanzania wa kawaida as i am!
 
Naomba nielezee kwa vipengele ulivyochambua
  • Ni kweli Kenya imejengwa sana na wakoloni na rwanda ni nchi ndogo lakini kwa miaka hamsini ya utawala wa ccm yalitakiwa yawepo mabadiliko,kwanza uchache wa watu katika nchi sio sababu ya kuwa tajiri kumbuka china ina watu karibu bilioni moja na inaendelea kwa kwasi,burundi nayo ni nchi ndogo lakini bado maskini wa kutupa,TATIZO LA KIKWETE HANA VISION HAJUI HAFANYE NINI NDIO MAANA ANAKUWA MZIGO KWETU WA TZ,hao kwenye na rwanda hawana rasilimali tulizonazo sisi ,achana na madini yanayohitaji technolojia kuchibwa hata watu pia ni rasilimali serikali imeshindwa kutumia kuongeza pato la nnchi,kikwete hajui anachofanya NDIO MAANA ALIULIZWA KWA NINI NCHI YAKO MASIKINI AKAJIBU SIJUI,
  • KUHUSU KUTEUA RAFIKI ZAKE,ameteua rafiki zake sio kwa kuwa ana waamini na anajua watatimiza malengo HAPANA KAFANYA HIVYO KULIPA FADHILA YA WALIYOMFANYIA KUMSAIDIA KUINGIA IKULU,KWA HIYO WAMEPEWA VYEO KAMA MSHAHARA WAJILIPE KILE WALICHOPOTEZA KWA SABABU YAKE NDIO MAANA PESA NYINGI YA SERIKALI IMEPOTEA mambo ya richmond na epa.
  • pia kikwete hawezi kuwachukulia hatua kwa sababu naye ni mmoja wapo ya mambo machafu yanayofanyika namnukuu lowasa akisema katika kikao cha nec ya ccm "WATU WANANISHAMBULIA KWA KUNIITA FISADI LAKINI UNAKUMBUKA WAKATI HII KAMPUNI YA RICHMOND INAINGIA NILITAKA KUIKATAA ULIVYOWASILIANA NA WEWE UKASEMA UMEPATA TAARIFA KWA MAKATIBU WAKUU KUWA HAINA TATIZO IENDELEE NA KAZI" kwa hali kama hiyo kikwete akichelewa kufanya maamuzi utasema anapima faida na hasara?
  • Rais kusafiri ,watu sio kwamba wanataka rais asisafiri tatizo ni safari za mara kwa mara na rais huwa anasafiri na msafara kiasi kwamba yanatumika mabilioni ya fedha,kuna mengine ambayo unakuta hata angeenda waziri ingetosha ambaye garama zake za usafiri ni chache kulingana na rais,ni kweli technolojia yetu ndogo lakini kuna mawaziri wengi wanaweza kuliwakilisha taifa,HATUTEGEMEI RAIS AENDE MAREKANI ALAFU AKAPIGE PICHA NA 50CENT au kwenda kuomba kikampuni fulani cha IT kije kiwekeze TZ wakati ni vitu vizuri lakini hata balozi angevifanya achana na wakurugenzi,makatibu wakuu au mawaziri
well said mkuu, nasikia mkulu anasafiri sana kwa sababu majini yanamsumbua pale magogoni, hii ni kwa mjibu wa Lukuvi kanisani kwa Gwajima
 
unacho jaribu kukifanya ni kusema mavi yana nukia haya nuki....

Wewe taja kimoja cha maendeleo ambacho Rais aliye kabla ya Kikwete amekifanya na Kikwete hajakifanya zaidi. Utatafuta sana hutopata jibu, utabaki na chuki binafsi na za kidini tu kama Mtei.
 
Ugonjwa wa pepopunda unakusumbua! Kweli nimeamini kuwa fikra za mtu aliye ndani ya boksi hutegemea ukubwa wa boksi lenyewe. Wewe unasomea shahada ya madrassa!
 
Sidhani kama ni kweli mimi nafanya hicho unachodhani nakifanya, hebu tujaribu kufanya kitu kimoja hivi, jiweke kwenye nafasi ya JK then tell us what your going to do to save our country?

Kwa hiyo unakubali kuwa JK ameshindwa kutusave siyo???
 
Naomba nielezee kwa vipengele ulivyochambua
  • Ni kweli Kenya imejengwa sana na wakoloni na rwanda ni nchi ndogo lakini kwa miaka hamsini ya utawala wa ccm yalitakiwa yawepo mabadiliko,kwanza uchache wa watu katika nchi sio sababu ya kuwa tajiri kumbuka china ina watu karibu bilioni moja na inaendelea kwa kwasi,burundi nayo ni nchi ndogo lakini bado maskini wa kutupa,TATIZO LA KIKWETE HANA VISION HAJUI HAFANYE NINI NDIO MAANA ANAKUWA MZIGO KWETU WA TZ,hao kwenye na rwanda hawana rasilimali tulizonazo sisi ,achana na madini yanayohitaji technolojia kuchibwa hata watu pia ni rasilimali serikali imeshindwa kutumia kuongeza pato la nnchi,kikwete hajui anachofanya NDIO MAANA ALIULIZWA KWA NINI NCHI YAKO MASIKINI AKAJIBU SIJUI,
  • KUHUSU KUTEUA RAFIKI ZAKE,ameteua rafiki zake sio kwa kuwa ana waamini na anajua watatimiza malengo HAPANA KAFANYA HIVYO KULIPA FADHILA YA WALIYOMFANYIA KUMSAIDIA KUINGIA IKULU,KWA HIYO WAMEPEWA VYEO KAMA MSHAHARA WAJILIPE KILE WALICHOPOTEZA KWA SABABU YAKE NDIO MAANA PESA NYINGI YA SERIKALI IMEPOTEA mambo ya richmond na epa.
  • pia kikwete hawezi kuwachukulia hatua kwa sababu naye ni mmoja wapo ya mambo machafu yanayofanyika namnukuu lowasa akisema katika kikao cha nec ya ccm "WATU WANANISHAMBULIA KWA KUNIITA FISADI LAKINI UNAKUMBUKA WAKATI HII KAMPUNI YA RICHMOND INAINGIA NILITAKA KUIKATAA ULIVYOWASILIANA NA WEWE UKASEMA UMEPATA TAARIFA KWA MAKATIBU WAKUU KUWA HAINA TATIZO IENDELEE NA KAZI" kwa hali kama hiyo kikwete akichelewa kufanya maamuzi utasema anapima faida na hasara?
  • Rais kusafiri ,watu sio kwamba wanataka rais asisafiri tatizo ni safari za mara kwa mara na rais huwa anasafiri na msafara kiasi kwamba yanatumika mabilioni ya fedha,kuna mengine ambayo unakuta hata angeenda waziri ingetosha ambaye garama zake za usafiri ni chache kulingana na rais,ni kweli technolojia yetu ndogo lakini kuna mawaziri wengi wanaweza kuliwakilisha taifa,HATUTEGEMEI RAIS AENDE MAREKANI ALAFU AKAPIGE PICHA NA 50CENT au kwenda kuomba kikampuni fulani cha IT kije kiwekeze TZ wakati ni vitu vizuri lakini hata balozi angevifanya achana na wakurugenzi,makatibu wakuu au mawaziri

Bill Gates hujawahi kumuona na kikampuni chake cha IT?
gates%2B%2526%2BJakaya.jpg

“We are ready to continue assisting Tanzania if you will avail your priorities to us,” said Mr Gates,
 
acha kusoma hiyo POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION (BA PSPA)) huna faida nayo
 
Back
Top Bottom