Leo naomba ku share tabia yangu halisi humu JF ikibidi nisaidiwe!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Hamjambo?

Mimi nimeshuhudia mengi humu, hasa ya wanaume wanaolia wakati wa tendo na kulia wakisalitiwa kwa namna moja ama nyingine, binafsi tabia zangu kwenye mahusiano ni mbingu na ardhi na wanaume walio wengi, mpaka inafikaga wakati najiogopa.

1. Kutoa machozi yaani kulia iwe kwa kufiwa au kuonewa, nakumbuka mara ya mwisho ni nikiwa mtoto mno. Sina experience ya kutoa machozi kutokana na kuwa sina hisia za kulia mpaka nitoe chozi.

Naweza kuwa na hisia ya kutoa chozi na nikalia ikiwa nikiona mnyama ananyanyasika kwa namna yoyote. Hapo naweza kulia kabisa. Nipo sensitive mno kwenye eneo hilo.

2. Sijawahi kuumia kwa zaidi ya sekunde 10 nikisikia nimesalitiwa au nikijua nimesalitiwa na mpenzi wangu. Sasa sijui ndiyo nina moyo mbovu au la!

Iliwahi kutokea nimesalitiwa na nikajua, sikuumia hata kidogo na siku mind, zaidi nikamuambia nampa nafasi ya pili na ajirekebishe. Aisee aliniacha mwenyewe kwa kuhofia usalama wake ilhali miye moyoni sikuwa na kinyongo naye na nilimsamehe kwa moyo mkunjufu kabisa.

3. Sina wivu kabisa wa mapenzi wala wa maendeleo. Hilo nafikiti nimeshaliongelea juu, hilo la wivu wa mapenzi.

4. Ninajiamini kupita kiasi mpaka naogopaga. Tukiwa kundi tunatembea hasa nikiwa na rafiki zangu, mbele kukawa na kundi la akina dada warembo, ikitokea rafiki zangu wakawa wanaona aibu kupita kati yao basi mimi pasi kuogopa hukatiza kati kati yao na kupita.

Hapo haijalishi nimevaaje, yaani najiamini mno hata nikivaa kandambili. Sihofii chochote na nakuwa na amani mno moyoni.

4. Niko real mno na uongo nauchukia sana toka utotoni. Siwezi kabisa kumdanganya mwanamke hasa kwenye habari za usafi. Akiniuliza umepiga mswaki asubuhi ya leo? Kama sijapiga namjibu hapana. Na si lazima awe mpenzi wangu, ni mwanamke yeyote. Niko real mno mpaka nahisi huenda ikawa kero.

5. Sijui ku cheat na kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, sijui ndiyo ushamba wenyewe au la. Ila nipo hivyo. Kuwa na mpenzi mwingine ni mpaka niachane na mpenzi wangu wa 1.

6. Siyo mwepesi wa kushtuka hata nikipata taarifa mbaya kiasi gani. Naweza kushangaa kwa sec 5 then nikawa kawaida sana, na ndiyo imetoka hiyo. Hata nikioneshwa clip ya mpenzi wangu akini cheat, moyoni ni mweupe mno na hakuna duku duku lolote.

7. Napenda kula. Kula ni starehe yangu.!

8. Sijui ku pretend wala kuigiza maisha hasa kwenye uhusiano. Demu akinizingua namchana siweki kiporo. Then tunaendelea na maisha mengine.

9. Sina utani na sipendi kutania watu.

10. Sijawahi kulia kisa mapenzi au mwanamke katika maisha yangu yote. Na najikuta tu siumii wala kuwaza.

11. SINA AIBU KABISA.
Sijui why Mungu kaniumba hivi na ana lengo gani? Dah. Nyingine ni hii sipendi kucheka na huwa sicheki kirahisi hata nikijifosi. Ni mwepesi kuomba msamaha na kujishusha nikikosea. Sipendi umbea wala kusengenya wala dhulma wala unafiki. Ni mpenda HAKI mzuri sana!.
 
Melacholic Personality

Hiyo ni hulka sio tabia.

Hulka tunazaliwa nazo bali tabia tunajifunza kwa jamii pale tu tunapozaliwa.

Unaweza kujifunza kuwa unavyotaka na ukawa.

Ubongo sio chuma ni kama plastic unayoweza yeyusha kisha ukaunda kitu unachotaka na ukayeyusha tena ukabadili umbo lingine.

Hulka yako ya Melacholic, wasipokuelewa watu watasema una DHARAU NA MAJIVUNO sio kosa lako ni uumbaji.

Melacholic wengi wana tabia ya U-SERIOUS sio kosa lao ni kama alivyo SANGUINE ambae anataka afahamiane na kila mtu, he/she dont care kwenye serious yeye ni masihala.

Sasa wewe na Melacholic ukija kuoa Sanguine utamuuwa maana.

Ngoja niishie hapa.
 
Melacholic Personality

Hiyo ni hulka sio tabia.

Hulka tunazaliwa nazo bali tabia tunajifunza kwa jamii pale tu tunapozaliwa.

Unaweza kujifunza kuwa unavyotaka na ukawa.

Ubongo sio chuma ni kama plastic unayoweza yeyusha kisha ukaunda kitu unachotaka na ukayeyusha tena ukabadili umbo lingine.

Hulka yako ya Melacholic, wasipokuelewa watu watasema una DHARAU NA MAJIVUNO sio kosa lako ni uumbaji.
Ni kweli na ndivyo nilivyo toka utotoni
 
Hamjambo?
Mimi nimeshuhudia mengi humu, hasa ya wanaume wanaolia wakati wa tendo na kulia wakisalitiwa kwa namna moja ama nyingine, binafsi tabia zangu kwenye mahusiano ni mbingu na ardhi na wanaume walio wengi, mpaka inafikaga wakati najiogopa.
1. Kutoa machozi yaani kulia iwe kwa kufiwa au kuonewa, nakumbuka mara ya mwisho ni nikiwa mtoto mno. Sina experience ya kutoa machozi kutokana na kuwa sina hisia za kulia mpaka nitoe chozi.

Naweza kuwa na hisia ya kutoa chozi na nikalia ikiwa nikiona mnyama ananyanyasika kwa namna yoyote. Hapo naweza kulia kabisa. Nipo sensitive mno kwenye eneo hilo.

2. Sijawahi kuumia kwa zaidi ya sekunde 10 nikisikia nimesalitiwa au nikijua nimesalitiwa na mpenzi wangu. Sasa sijui ndiyo nina moyo mbovu au la!

Iliwahi kutokea nimesalitiwa na nikajua, sikuumia hata kidogo na siku mind, zaidi nikamuambia nampa nafasi ya pili na ajirekebishe. Aisee aliniacha mwenyewe kwa kuhofia usalama wake ilhali miye moyoni sikuwa na kinyongo naye na nilimsamehe kwa moyo mkunjufu kabisa.

3. Sina wivu kabisa wa mapenzi wala wa maendeleo. Hilo nafikiti nimeshaliongelea juu, hilo la wivu wa mapenzi.

4. Ninajiamini kupita kiasi mpaka naogopaga. Tukiwa kundi tunatembea hasa nikiwa na rafiki zangu, mbele kukawa na kundi la akina dada warembo, ikitokea rafiki zangu wakawa wanaona aibu kupita kati yao basi mimi pasi kuogopa hukatiza kati kati yao na kupita.

Hapo haijalishi nimevaaje, yaani najiamini mno hata nikivaa kandambili. Sihofii chochote na nakuwa na amani mno moyoni.

4. Niko real mno na uongo nauchukia sana toka utotoni. Siwezi kabisa kumdanganya mwanamke hasa kwenye habari za usafi. Akiniuliza umepiga mswaki asubuhi ya leo? Kama sijapiga namjibu hapana. Na si lazima awe mpenzi wangu, ni mwanamke yeyote. Niko real mno mpaka nahisi huenda ikawa kero.

5. Sijui ku cheat na kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, sijui ndiyo ushamba wenyewe au la. Ila nipo hivyo. Kuwa na mpenzi mwingine ni mpaka niachane na mpenzi wangu wa 1.

6. Siyo mwepesi wa kushtuka hata nikipata taarifa mbaya kiasi gani. Naweza kushangaa kwa sec 5 then nikawa kawaida sana, na ndiyo imetoka hiyo. Hata nikioneshwa clip ya mpenzi wangu akini cheat, moyoni ni mweupe mno na hakuna duku duku lolote.

7. Napenda kula. Kula ni starehe yangu.!

8. Sijui ku pretend wala kuigiza maisha hasa kwenye uhusiano. Demu akinizingua namchana siweki kiporo. Then tunaendelea na maisha mengine.

9. Sina utani na sipendi kutania watu.

10. Sijawahi kulia kisa mapenzi au mwanamke katika maisha yangu yote. Na najikuta tu siumii wala kuwaza.
11. SINA AIBU KABISA.
Sijui why Mungu kaniumba hivi na ana lengo gani? Dah. Nyingine ni hii sipendi kucheka na huwa sicheki kirahisi hata nikijifosi. Ni mwepesi kuomba msamaha na kujishusha nikikosea. Sipendi umbea wala kusengenya wala dhulma wala unafiki. Ni mpenda HAKI mzuri sana!.
Wewe ni mwehu
 
Back
Top Bottom