Leo najipongeza, nitakula ulabu mpaka kucheee..

Hongera sana kaka. Kajiswali kadogo, ni shule za aina gani hizo ulizolipa hizo karo? Nna imani muda huu utakuwa uko sober!
 
Hick hick...hujanipa hata raundi hick hick....shawa bwana hick hick...
 
Hongera sana kaka. Kajiswali kadogo, ni shule za aina gani hizo ulizolipa hizo karo? Nna imani muda huu utakuwa uko sober!

Ahsante. 2 Children...St. Mary's Primary School
1 Kifungilo Girls SS
1 Marian Girls' High School
1. St. Mark's Secondary School
1 University of South Africa
 
Ndo tatizo la Wazazi wetu kama hawa hawana PLAN hata hawazi kesho itakuwaje!!
Anachowaza ni ULABU 2,Vipi hapo home m2 akiugua ghafula ume2nza chochote??!!

Nina insurance PRIME 5 kwa familia yote. Lakini kuna ubaya gani kujipongeza? Nisameheni bure. Ulabu nililamba na maisha yanaendelea vizuri tu.
 
Hongera kwa kukamilisha malengo! ila kama ukiweza achana na mipombe haina issue. Utaishia kujuta tu asubuhi baada ya ulabu kuisha kichwani.

Tena na ninyi wahaya mnapokunywa pombe yote inahamia chini kwenye utu uzima ( i am sure unanielewa)

Watu wengi wanapokunywa huwa hivyo...sio wahaya tu...hata mimi huwa nanyeg...k sana ninapokuwa na ulabu kichwani...ila sababu ya hii siijui...
 
Ahsante. 2 Children...St. Mary's Primary School
1 Kifungilo Girls SS
1 Marian Girls' High School
1. St. Mark's Secondary School
1 University of South Africa

Watu wakule tunawafahamu kwa mikogo....."mama kokuu niletee hiyo bilioni moja kwenye dressing table nimpatie kemilembe aende shule..."
 
Watu wakule tunawafahamu kwa mikogo....."mama kokuu niletee hiyo bilioni moja kwenye dressing table nimpatie kemilembe aende shule..."

Umejuaje, she is my first born!. Sasa hapo mikogo iko wapi, wakati najibu swali nililo ulizwa?
 
Back
Top Bottom