Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Mkuu Invigilator naona umetoboa hongera sana. Karibu sana to the land of the free and home of the brave. Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu duniani- USA baby 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸

Kama hutojali unaweza sema unaenda state gani inawezekana ukapata wenyeji humu humu.
 
Jana nimeamini humu ndani kuna watu wa ajabu mno, jambo la kuomba visa na kupata ni jambo la kawaida kabisa, me sio wa kwanza kupata wala sitakuwa wa mwisho.
Me kupata sitaziba ridhiki aliyoandikiwa mja kwa namna yoyote ile, ila jana nimeshangaa watu wananitolea hadi MATUSI na maneno ya LAANA,sijui kosa ni nini?
Wachawi,,,,walitaka wasikie umefeli.
 
Moja ya kinachofurahisha Jf ni ukianzisha uzi kuhusu nchi yoyote na wachangiaji watajidai wako huko huko hata kama wengi sio kweli.

Utasikia, karibu sana huku Marekani. Mara mwingine atasema, kwa kweli kwa sisi tunaoishi hapa Landani Uingereza hilo suala tunalikubali. Na hata wapo watakaokwambia huko Bongo mnateseka sana, karibuni huku falme za kiarabu.
kumbe wanakunywa togwa bongo
 
Mkuu Invigilator naona umetoboa hongera sana. Karibu sana to the land of the free and home of the brave. Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu duniani- USA baby

Kama hutojali unaweza sema unaenda state gani inawezekana ukapata wenyeji humu humu.
Mkuu Bufa ahsante sana kiongozi wangu, Mungu akubariki kwa kunisaidia kimawazo tangu mwanzo hadi hapa nilipofikia.
 
Mkuu Invigilator naona umetoboa hongera sana. Karibu sana to the land of the free and home of the brave. Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu duniani- USA baby

Kama hutojali unaweza sema unaenda state gani inawezekana ukapata wenyeji humu humu.

Mkuu ni kweli kabisa! Hapa ukifika utakuta hadi wajapani hawataki kurudi kwao wote wanakomaa hapa, nilishangaa sana hadi wajerumani,waingireza na wacanada wote hawataki kurudi kwao. Wameamua kukoamaa hapa. USA ndo kiwanja pekee cha wajanja wanaotaka maisha zaidi ya huko nyumbani. Ukifika hapa mzee mawazo ya kurudi home yote yatakatika! Hakuna aliyefika hapa akawaza kurudi tena home labda awe kalogwa
 
Kila mtu mwenye akili anapenda kuwa land of free na fursa sawa kwa wote.
Mkuu ni kweli kabisa! Hapa ukifika utakuta hadi wajapani hawataki kurudi kwao wote wanakomaa hapa, nilishangaa sana hadi wajerumani,waingireza na wacanada wote hawataki kurudi kwao. Wameamua kukoamaa hapa. USA ndo kiwanja pekee cha wajanja wanaotaka maisha zaidi ya huko nyumbani. Ukifika hapa mzee mawazo ya kurudi home yote yatakatika! Hakuna aliyefika hapa akawaza kurudi tena home labda awe kalogwa
 
I'm so grateful Mkuu

Mkuu ushauri tu nakupa! Ukifika hapa The land of oppotunity! ! Kaa karibu na wakenya watakupa michongo yote ya kusaka pesa! Kaa mbali na wabongo! Wabongo bado ni watu wenye mizaha sana kwenye mambo serous! Wakikukuta unabeba box wataanza kupiga simu nyumbani nakufanya mizaha wakati watu wanatafuta mpunga hapa hakuna kuchagua kazi. Pia kama hauna makuu jiandikishe kwa watu wa food bank utakuwa unapata misosi ya kufa mtu bure kabisa! Then utajikuta una saving ya kufa mtu. Mwisho tii sheria bila shuruti. All the best champ! Hakuna kurudi huko kwa makarani wa sensa
 
Ahsante sana Mkuu, ahsante sana, nakushukuru mno, hizi ndizo roho safi kabisa zinazojenga,Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom