Leo mbona sizisikii kelele za kumuita skudu mbovu kulikoni

Tatizo Watz huwa Wanataka Matokeo ya Chapchap...huwa hawana Muda Wa Kumsikilizia mtu...!

CR7 Pengine asingejulikana Dunia iwapo Mzee Fergie asingemsikilizia kipindi kile anapokelewa Kutokea FC Porto ya Ureno..!
😂😂😂😂 porto sio

Umeweka na alama ya mshangao😁😁
 
Kwahiyo Yanga wamesajili mchezaji wa Kimataifa kuja kukaa benchi na kukiwasha kwenye mechi ndogondogo kama hizi za Mtibwa Sugar? Km ni uvumilivu kwann tusingesajili kijana wa ndani tukamvumilia na kumjenga?
 
polepole,anaingizwa kwenye gemu,japo muda wake wa kuondoka ushafika?
 
Skudu ni mchezaji mzuri kwenye viwanja kama hivyo vya Azam Complex na Taifa! Pia ni mchezaji mzuri iwapo atacheza na timu ambazo wachezaji wake hawana matumizi makubwa ya nguvu, kuliko akili kama Mtibwa.

Lakini pia ni mzuri pale timu inapokuwa inaongoza kwa magoli. Maana kuna wakati anaweza akaamua kuleta manjonjo pembeni mwa uwanja ili ashangiliwe na mashabiki, badala ya kupiga krosi ili watu wafunge.
 
Tatizo Watz huwa Wanataka Matokeo ya Chapchap...huwa hawana Muda Wa Kumsikilizia mtu...!

CR7 Pengine asingejulikana Dunia iwapo Mzee Fergie asingemsikilizia kipindi kile anapokelewa Kutokea FC Porto ya Ureno..!
Eenh, kwahiyo Ronaldo alitokea FC Porto sio?!
 
Back
Top Bottom