Leo kuna hamasa kubwa sana kwa Mashariki wa Simba

mjogoro

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
882
652
Leo mashabiki wa Simba hasa mitandaoni wanaonekana kuwa na matumaini kibao tofauti na wenzao wa Yanga. Sijui ni kwanini.
 
sio mtandaoni pekee hadi huko kirumba simba wamejaaaaaaaaa kinoma noma
 
Hatuna kocha pale.

Hadi sasa ninalaani kitendo cha kumwacha Morrison na kukosana na Chama halafu mnasingizia ana majeraha.

Uongozi mkimwacha huyu jamaa mtapoteza mashabiki wengi
 
Back
Top Bottom