Leo hii kagasheki umesahau????????????????

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Hivi jamani si ni huyu Kagasheki aliyekwenda kwenye huo mgodi wa North Mara kipindi cha nyuma aliyegeuka kama mbogo aliyejeruhiwa akidai kuwa uongozi wa Barrick umemdangaya ktk sakata la maji yenye kemikali leo hii unasahau kuwatetea wananchi wako unaanza kutamka maneno kama hayo hivi CDM ndo ilowaambia wananchi waende kuvamia mgodi? Hebu fikiria kama kati ya waliokufa angelikuwamo ni mtoto wako wa kumzaa hakika usingethubutu kuongea unayoyaongea sasa ungeliukumbuka ule udanganyifu ulopewa kipindi cha nyuma na kugundua kuwa kuna jambo linalohitaji maamuzi mazito kutatuliwa.
 
sometime nafkiri ukweli wanaujua ila baasi tu propaganda za magamba zimewaziba milango yao ya fahamu kila kitu wanatafuta mtu wa kumblame yaani hawataki kutake responsibility na huo ndo ulemavu wao it was once said by reggae legend Robert Nesta Marley '' YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME'' endeleeni hivo hivo siku yao inakuja. Hivi hawajifunzi kwa yale ya Muleba na leo ya Nyambari au hadi mtu atolewe koromeo ndo watajaua watz wamechoka au? wasitake tufike huko banaaa alaaaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom