Leo 4 October Mch. Mtikila ametimiza miaka Nane tangu atwaliwe

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,521
86,078
Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.

Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.

Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
 
MIAKA MINANE sawa na MIAKA MINNE AU MIAKA MITATU
huwezi kusema MIAKA NANE au NNE au MIAKA TATU
TUTUNZE KISWAHILI CHETU
 
Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.

Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.

Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
Inasemekana kuwa ajali ile ilipangwa na mmoja wa viongozi toka nchi za maziwa Makuu kisa kikisemwa ni kumtuhumu Mkuu huyo kuingiza Mamluki Tanzania, Inasemwa kuwa ajali hiyo ilipangwa.....
 
Naam Naam Naam! Very painful 😖
 
Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.

Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.

Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
Nani alimtwaa. Mi navyojua alijitwaa mwenyewe
 
Back
Top Bottom