LEMA: Ni maandamano tu, hakuna kurudi nyuma

jinga kubwa hili jamaa
Duuuuh umerudi! Badilika. Ukubwa jinga wake ni nini? Maandamano ni njia mojawapo ya kueleza hisia, ikiwa jambo unalotaka kuandamana halina msingi ni imani yangu hutapata watu kwa maana utaandamana wewe mwenyewe. Lema anasema maandamano anajua kuwa kuna mashiko katika hoja zao za maandamano.
 
Pipoooooooooooooooooz! hatutaacha kuandamana mpaka maskini waTZ atakaposikilizwa,hatutaacha kuandamana mpaka vijana waTZ wapate ajira baaaaab.God b tupo pa1 kamanda mpaka kieleweke, tunaanzia wapi now?
 
Natamani sana yule jamaa angekuwa mbunge wangu!!!! I love cdm nimependa presentation ya lema!!!!!!!!!!!!
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

Nepi hajambo?
 
Chadema ndio chama cha kwanza cha siasa duniani, kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote zaidi ya kugawana posho kodi zetu Wananchi (Ruzuku)
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

Acha uwongo yangekuwa hayasaidii wabunge wa chama cha Magamba wasingekuwa wanapiga kelele kila siku kuhusu hayo maandamano, kila mbunge akisimama badala ya kuchangia hoja anaanza kusemea maandamano....wenzako wanayaogopa wewe unajifanya shujaaa hahahahah
 
Chadema ndio chama cha kwanza cha siasa duniani, kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yotote zaidi ya kugawana posho kodi zetu Wananchi (Ruzuku)
angalia hili liisembo kweliccm ndo chama cha kwanza duniani kuwa na sera zisizotekelezeka !
 
Pipoooooooooooooooooz! hatutaacha kuandamana mpaka maskini waTZ atakaposikilizwa,hatutaacha kuandamana mpaka vijana waTZ wapate ajira baaaaab.God b tupo pa1 kamanda mpaka kieleweke, tunaanzia wapi now?
Mkuu! Mi ningefurahia 2anzie palipo mnara wa Mwenge,na 2natwanga kotekote! 2mechoshwa na magamba wa kujilimbikiza tu.
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

Acha ujinga, kwani safari za JK zinatusaidia nini, ni bora hata haya maandamano ambayo yanakula muda kuliko huyo anayekula hela zetu kwa trip zisizoisha
 
Tuwe wakweli jamani, pamoja na kwamba wabunge wa ccm ni wengi bungeni, na pamoja na kupata 'tafu' ya Spika na naibu wake, hawa wabunge wanapata kibano sawasawa toka kwa CDM! Na kinachotia huruma na fedheha ni kwa jinsi gani wabunge wa ccm wanaonekana kubwana na nidhamu yao ya woga. Hawako huru hata kidogo. na sijui wanawezaje kusimamia serikali na kuwakilisha wapiga kura wao kama hawana ujasiri wa kuongea au hawako huru?

Lakini ukiwaangalia wabunge wa CHADEMA wako huru, they are speaking their mind na wako in-tune na reality zaidi kuliko wakina 'naunga hoja mia kwa mia'. Leo nimemuona mtoto wa mkulima akiongea kwa hasira (for the first time) nadhani CHADEMA is succeding in bringing out his dark-side.
 
Kuna cha ziada kutoka kwa Lema? Hapo ndipo uwezo wake na wachama chake unapoishia, truly DARUSO politics.
 
Chadema ndio chama cha kwanza cha siasa duniani, kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yotote zaidi ya kugawana posho kodi zetu Wananchi (Ruzuku)

ccm ndo chama cha kwanza duniani kutoa kiongozi anaependa kusafiri hata pale ambapo alitakiwa aende waziri wa sekta huska, mpenda kubembea!
 
Hapo kwenye red ni JK

mkuu upo sahihi kabisa yaani hata mtoto wa chekechea ananafuu, Tulimchagua lema kwakuwa anatufaa wana waarusha style yake tuliipenda na tutaipenda na ataendelea kuwa mp wa arusha kwa gharama yeyote ile ya maisha yetu......... big up LEMA
 
ccm ndo chama cha kwanza duniani kutoa kiongozi anaependa kusafiri hata pale ambapo alitakiwa aende waziri wa sekta huska, mpenda kubembea!

CCM ndio chama cha kwanza kutoa raisi anaelia lia kila kitu kama mwananchi wa kawaida bila kuchukua hatua.Mara ooh CDM wanataka kupindua nchi,ooh Maaskofu wauza madawa ya kulevya ,..ooh Mafisadi hakuna CCM tunapakaziwa -.....ooh Mzee Nyerere kakaa miaka 24 hajayamaliza na mie oooh....
 
Back
Top Bottom