LEMA: Ni maandamano tu, hakuna kurudi nyuma

Tutaandamana kudai haki zetu usiku na mchana mana serikali ya CCM imejaa dhuruma dhidi ya wanyonge,mkoloni mweusi lazima an'goke 2015,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.VIVA CHADEMA
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
Yaani vibaraka utawajua tu, hata kuandika ni shida! Karibu JF, hapa tunatumia Kiswahili na Kiingereza. Watu kama Lema wanawapigania maelfu kama wewe ambao wameenda shule lakini kusoma na kuandika ni shida.
 
Kuna cha ziada kutoka kwa Lema? Hapo ndipo uwezo wake na wachama chake unapoishia, truly DARUSO politics.
Unafikra mgando kijana wa NAPE,Mchukue LEMA na JK wapo wapeleke ARUSHA kila mtu afanye mkutano,walahi KIKWETE akipata watu hata 50 mi nakunya sokoni,LEMA ni RAIS wa ARUSHA njoo umguse LEMA uone.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
Wewe kunya popote upendapo, unamfananisha Kikwete na Lema? Ni sawa sawa ufananinishe KIBOSHO na DUBAI
 
Okay...Kama ni hivyo maandamano yalenge Kitu husika ambacho wa TZ wanahitaji....Ila yawe ya amani tu.
 
Unafikra mgando kijana wa NAPE,Mchukue LEMA na JK wapo wapeleke ARUSHA kila mtu afanye mkutano,walahi KIKWETE akipata watu hata 50 mi nakunya sokoni,LEMA ni RAIS wa ARUSHA njoo umguse LEMA uone.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
Kweli kabisa LEMA ndio rais wa Arusha, I bet he is smartest in the region.
 
Maandamano ndio dhana kubwa ya kudai haki duniani.Huku Kwa Mandela nako pia watu hutumia maandamano mara kwa mara kudai haki zao.Ninashangaa hao watumwa wa CCM wanasema CDM ndio wanongoza kwa maandamano.Ni wa pumbavu hawataelimika kamwe! CCM imewalisha limbwata hao.
 
maanadamano kama kawa,imagine wakiandamana baadhi ya kero zinarekebishwa basi wacha tuandamane mwisho ya siku kero zote zitaisha.hii serikali haifanyi kazi mpaka isukumwe.
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
Tatizo ni upeo wako.usikubali kutumiwa na pia usikubal kuwa mchumia tumbo.
 
Lema ,Zitto .Kabwe msiwaogope hao wafisadi wakubwa duniani.Tupo nyuma yenu hadi mwisho wa mapambano.Watanzania! Amkeni kumekucha tukaking'oe kisiki cha ufisadi,maisha haya mabovu mpaka lini?Ndugu zetu watakula ugali na dagaa wa kuchemshwa mpaka lini?Ndugu zetu huko vijijini watakunya maji ya miferejini mpaka lini?Tusiwaogope hao FFU vibaraka wa CCM hadi kieleweke.
 
Bunge alasiri hii Kama maandamano yanalenga kutetea haki za matanzania kamwe hayatakoma usiku na mchana na Polisi wajiandae. Hizo ni salam za Mh. Godbless Lema alsiri hii akimwaga Moto Bungeni katika kuchangia hotuba ya Waziri kivuli wa Fedha na Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani. Anasisitiz endapo tutaweza kuishi kwa usawa na kujali misingi ya kidemokrasia na uwajibikaji , kamwe maandamano hayatakuwepo. Na mkitaka kuamini hilo fanyeni uchunguzi hawaandamani CDM wanaandamana wananchi waliochoshwa na udhalimu wa Serikali. Haungi mkono Bajeti
Big up KAMANDA LEMA, Kila jasho, kila sauti, kila damu, na vurugu za polisi kwenye kila maandamano ya CDM yana maana kubwa kwa ukombozi wa nchi hii, hasa kiuchumi na hasa wa mwananchi anayeitwa mkulima wakati ardhi yake imebinafsishwa kwa anayeitwa mwekezaji (in reality is mchukuaji),pia kinachofanyika hapo kinaongeza ugumu wa maisha kwa huyo mkulima. PAMOOOOOOOJJAAAAAAAA SSAAAANAAAA KAMANDA.
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

ndo shida ya kuzaliwa njiti ...nawazo yanakuwa doro ka mautumbo ya bata
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
Acha hizo! Eti 'mungiki'! Na bado mtasema ni 'msomali' au 'mgagagigikoko' kabisa!
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
Kumbuka kuvaa nguo za ndani,sio kukulupuka tu.
 
Bunge alasiri hii

Kama maandamano yanalenga kutetea haki za matanzania kamwe hayatakoma usiku na mchana na Polisi wajiandae. Hizo ni salam za Mh. Godbless Lema alsiri hii akimwaga Moto Bungeni katika kuchangia hotuba ya Waziri kivuli wa Fedha na Naibu kiongozi wa Kambi ya Upinzani.

Anasisitiz endapo tutaweza kuishi kwa usawa na kujali misingi ya kidemokrasia na uwajibikaji , kamwe maandamano hayatakuwepo. Na mkitaka kuamini hilo fanyeni uchunguzi hawaandamani CDM wanaandamana wananchi waliochoshwa na udhalimu wa Serikali.

Haungi mkono Bajeti

Hongera mpiganaji Lema ila usisahau kushughulikia na Masuala ya Arusha maana ndio walikupa tiketi ya kuingilia Bungeni.
 
Back
Top Bottom