Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Mkuu hapo umenena!!!!!!!!!!!!!!!!
Angeongezeka hapo Safari na Mabere Marando kazi kwisha!!
Angeongezeka hapo Safari na Mabere Marando kazi kwisha!!
wasimuache prof Safari kwenye hii kesi, prof ana magic touch, trust me!, Lisu is the best yes, but he has that sour test to afew judges including Chande.... I would put Prof safari siku yoyote ile kusawazisha baoNimefarijika sana niliposikia kuwa Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu atajiunga na Wakili Msomi Method Kimomogoro kujenga hoja mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kuonesha mapungufu ya Hukumu ya Jaji Rwakibarila wa Mahakama Kuu. Wakili Lissu ananipa matumaini mapya. Matumaini ya kutendeka haki. Hapa Kimomogoro,hapa Lissu...pataeleweka tu. Wakili Lissu anampigania Lema na haki ya wana-Arusha kuwa Mbunge wao waliomchagua. Viva Mnadhimu Lissu...
umemaliza kazi mkuu........... hizo jembe mbili ni homa ya jijiAngeongezeka hapo Safari na Mabere Marando kazi kwisha!!
may god bless godbless lema.
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
Mbona ambao aliwataja wameondolewa na wambaki wale wenye sifa. Kama wewe ni mfatiliaji mzuri, utakuwa unafahamu kuwa Jaji Mbarouk Salim Mbarouk ni mmojawapo aliyetajwa na Lissu ambaye hakuwa hata na degree moja ameondolewa kusikiliza rufaa ya Lema kama ilivyopangwa awali. Badalayake ameingia Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman ambaye ataungana Majaji wa Mahakama ya rufaa, Natalia Kimaro na Salum Massati ambao wote ni wa ukweli. Lissu hakusema majaji wote ni feki, ukisoma taarifa yake aliyoipeleka bungeni aliwataja wote kwa majina na mapungufu yao. Nashauri wakati mwingine tuache ushabiki wa kitoto.
Lema anaudi kwa kishindo na yale makato yake kule bungeni anarudishiwa yote. Ni kati ya tarehe 20 na 22 Sept 2012
Mbona ambao aliwataja wameondolewa na wambaki wale wenye sifa. Kama wewe ni mfatiliaji mzuri, utakuwa unafahamu kuwa Jaji Mbarouk Salim Mbarouk ni mmojawapo aliyetajwa na Lissu ambaye hakuwa hata na degree moja ameondolewa kusikiliza rufaa ya Lema kama ilivyopangwa awali. Badalayake ameingia Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman ambaye ataungana Majaji wa Mahakama ya rufaa, Natalia Kimaro na Salum Massati ambao wote ni wa ukweli. Lissu hakusema majaji wote ni feki, ukisoma taarifa yake aliyoipeleka bungeni aliwataja wote kwa majina na mapungufu yao. Nashauri wakati mwingine tuache ushabiki wa kitoto.
Nimefarijika sana niliposikia kuwa Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu atajiunga na Wakili Msomi Method Kimomogoro kujenga hoja mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kuonesha mapungufu ya Hukumu ya Jaji Rwakibarila wa Mahakama Kuu. Wakili Lissu ananipa matumaini mapya. Matumaini ya kutendeka haki. Hapa Kimomogoro,hapa Lissu...pataeleweka tu. Wakili Lissu anampigania Lema na haki ya wana-Arusha kuwa Mbunge wao waliomchagua. Viva Mnadhimu Lissu...