Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,885
- 13,299
leo ata beti vizur 🐒Lema chochea kuni
leo ata beti vizur 🐒Lema chochea kuni
Mchango wako ni mdogo sana katika ujenzi wa hoja, unalia ndio mchango gani katika hoja za kujenga.Nimelia....
Nimemuelewa vizuri sana Lema tena anaye ongoza lumtukana Rais ni Ummy Mwalimu hasa kwenye wizara ya afya kwenye swala la bima ya Afya… ni majanga matupu
Ukichangia wewe inatosha brazaMchango wako ni mdogo sana katika ujenzi wa hoja, unalia ndio mchango gani katika hoja za kujenga.
Lema ametumia akili kubwa sana katika hotuba hii kwa maana amewatega wote aliowataja. Kumshtaki wanaweza lakini wakikumbuka kuwa Makonda anawajua watajishauri mara mbili mbili!Nimemuelewa vizuri sana Lema tena anaye ongoza lumtukana Rais ni Ummy Mwalimu hasa kwenye wizara ya afya kwenye swala la bima ya Afya… ni majanga matupu
Leo Lucas Mwashambwa lazima alale na viatu!🤓😁😂Lucas Mwashambwa yupo
Siasa noma sana
Hatari udugu, nna mpango nihamie Arusha ili nikapate burudani 🤣🤣🤣🤣
Makonda kawasha moto....Lema anachochea. Kweli Maendeleo haya Chama.Lema chochea kuni
Kitakachofuatia ni mlipuko , je nani atalipuka ?Makonda kawasha moto....Lema anachochea. Kweli Maendeleo haya Chama.
Halafu Lema hajaongelea matusi kama matusi Lema ukimsikiliza kwa makini ni utendaji ndio umemtukanisha!Lema ametumia akili kubwa sana katika hotuba hii kwa maana amewatega wote aliowataja. Kumshtaki wanaweza lakini wakikumbuka kuwa Makonda anawajua watajishauri mara mbili mbili!