Lema awaliza NCCR Manyara, kigogo ahamia CHADEMA!

Kwanini Zito na siyo Kikwete...asome vitabu inaonekana hapitii nakala hapa umeonyesha ujuha...
CHADEMA kiongozi ni zito namkubali sana mtu huyu but lema asome vitabu inaonekana hapitii nakala ni mropokaji tu
 
Huyu Bwana TARA ni choka mbaya.amewadanganya wananchi wake kuwa atashinda kesi matokeo yake ni kupigwa chini kila akienda mahakamani.wananchi wamemchangia mpaka wamechoka.anadhani akibadilisha Chama atazaliwa upya?wajinga ndo waliwao.!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom