Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Attachments

  • ZITO 2.jpg
    ZITO 2.jpg
    6.8 KB · Views: 37
Heshima kwenu wanajamvi,

Tangu mwanzo nilitabiri Lema atashinda rufaa yake ningeshangaa sana kama asingeshinda hasa ukizingatia mapungufu ya hukumu ya mahakama kuu.

Nakala: TUMBIRI Crashwise Matola PakaJimmy Ritz na nk,

Hahahhahaaaa. Mkuu mbona hukunitumia mie nakala ya post yako?

Najua kama Lema angeshindwa leo, ingekuwa zawadi kubwa sana kwako ya Krismasi. (joking).

Kusema ukweli kesi ya Lema iliendeshwa kisiasa sana wakati ikiwa Mahakama Kuu.

Ile hukumu ya Mahakama Kuu was one of the most disappointing judgments I have ever read.

Ile hukumu ilinifafanya nianze ku-question the independence of the judiciary (uhuru wa mahakama)

Ile hukumu ilinifanya nianze ku-question utaalamu ya majaji wetu katika kuamua kesi kwa mujibu wa sheria.

At least Mahakama ya Rufaa imejaribu kuondoa aibu hii.

It would have been shocking if the Court of Appeal had held otherwise.

Hukumu ya Mahakama ya Rufaa inajaribu kusafisha image mbaya ya mahakama zetu ambayo imesambaa siyo tuu ndani ya nchi bali pia nje ya nchi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-tanzania-are-so-riddled-with-corruption.html

But the judiciary has got a long way to go kufuta kabisa hii image.

CC. Buchanan, Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mungu awalinde wapigania haki wote hapa nchini.

kweli kabisa mkuu,haka katabia ka usaliti kameanza siku nyingi tangu ilipoundwa tume ya kupitia upya mikataba ya madini nikawa nimehisi kuna watu walikuwa bribed na wakawa vigeugeu madhara yake ndo tunayaona mpaka leo.
 
Hahaaa thread nimeikimbiza hii nyie..if you hate Lema,if you hate Dr slaa,Mbowe,Tundu lissu na wapiganaji woote ambao their ready to die real katika ukombozi wa hili taifa baasi expect maumivu,still the movement is promising..lema go go go gooooo!
 
Hii inaonyesha jinsi ccm inavyocheza rafu kwenye chaguzi. juzi kijitonyama diwani, leo Arusha. hiki chama cha majambazi kina mwisho wake
 
Katika mahojiano, Alhamisi, Aprili 5, 2012, na Redio One, ikiwa ni kauli yake ya kwanza baada ya Mahakama Kuu ya Arusha kutangaza kumvua ubunge, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Bwana Godbless Lema, amedai kwa jazba sana kuwa hukumu ya Mheshimiwa Jaji Gabriel Rwakibalira imetokana na maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Ikulu.

Kauli hii ya Bwana Lema ni upuuzi. Siyo Mheshimiwa Rais Kikwete wala Ikuluimeingilia kati kesi yake kwa namna yoyote ile, iwe ni kwa kupiga simu amakuzungumza na Mheshimiwa Jaji Rwakibalira.

Kwa hakika, haijapata kutokea Mheshimiwa Kikwete, tokea alipoingia madarakani, Desemba 21, 2005, akaingilia, kwa namna yoyote ile, mwenendo wa kesi yoyote ile katika Mahakama yoyote na ya ngazi yoyote katika Tanzania. Na wala hakusudii kufanya hivyo wakati wote wa muda wake uliobakia wa uongozi. Siyo kazi ya Rais kutoa hukumu ama kuelekeza namna ya kutoa hukumu katika kesi zilizoko Mahakamani. Rais hana madaraka wala mamlaka hayo.

Aidha, kauli ya Bwana Lema ni ukosefu mkubwa wa adabu na heshima kwa Mahakama ambao ni Muhimili Huru usioingiliwa na Serikali ama na Muhimili mwingine katika maamuzi yake. Bwana Lema amekuwa kiongozi kwa muda sasa, hivyo ni lazima atambue jambo hili kubwa na muhimu katika mfumo mzima wa utawala wa nchi yetu.

Ni jambo lisilokuwa na mshiko wala tija, na kwa kweli ni bahati mbaya, kwamba Bwana Lema anajaribu kuingiza mambo yasiyohusika katika jambo la dhahiri kabisa kuwa ni la kisheria ambalo msingi ni hoja na maelezo mahakamani.

Bwana Lema asitafute visingizio kwa yaliyomfika kwa sababu hakuna mtu mwingine wakumbebea msalaba huu. Badala ya kutafuta mchawi asiyekuwepo, ni vyema Bwana Lema angekaa chini na kuangalia ni sababu zipi za kisheria zilizomfanya ashindwe na kama ameridhika kuwa hakutendewa haki akate rufani kwa mujibu wa sheria na taratibu. Tunaomba wananchi wampuuze. Ameshindwa kesi kwa makosa yake aliyofanya hana mtu wa kumlaumu bali ajilaumu mwenyewe.

Lema pamoja na baadhi ya Pro-Chadema msipende kuropoka ovyo..

Rais+Dkt.Jakaya+Mrisho+Kikwete+akimpa+pole+Katibu+Mkuu+wa+CHADEMA+Dkt.+Wilbroad+Slaa+katika+viwanja+vya+Karimjee+kufuatia+msiba+wa+muasisi+wa+Chama+hicho+Bob+Makani+.JPG
 
ukombozi unakuja mkifika bungeni au mchakato wa katiba azimio la arusha liingizwe kwenye katiba liwepo kisiasa, chadema tunawategemea kwenye ukombozi 2015 msituangushe.
 
Back
Top Bottom