Kuna tatizo la msingi Mahakama Kuu. Hawa Junior Judges wanaonenakana kuwa highly incompetent na tuhuma za Mh. Tundu Lissu zinazidi kuthibitika. Nashauri wote walioshindwa kesi zao Mahakama Kuu kukata rufaa; sina imani kabisa na Mahakama Kuu yetu bali majaji wachache wa Mahakama ya Rufaa. Haiwezekani mashauri mengi yaliyoshinda Mahakama Kuu kutenguliwa kirahisi namna hii. Mamlaka za Uteuzi wa Majaji zinapaswa kwa kweli kujirekebisha; mhimili wa utoaji haki sio wa kuchezea namna hii. Pongezi kwa Mh. Godbless Lema.
Mkuu hii ni hatari sana kwa mstakabili wa mahakama kuu inabidi kutupia macho sana kwani inawezakupeta amani ya nchi.