Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Asante sana Nyerere FOR the update watu Hapa Arusha tumekodi fastjet kuja kuchukua mbunge wetu aliekuwa houneymoon yani leo ndio xmas yenyewe
 
habari tofauti na yalioandikwa ni mengine..

kumbe hukumu yenye bado..

Nitarudi baadaye..:target:
 
Huu ni ushindi wa kihistoria, haki imetendeka sio kwa Lema bali kwa wana Arusha waliomchagua, haki imetendeka kwa Watanzania wapenda haki!!!!

Tiba
 
Dudadadeki CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na ijumaaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, natoka kazini sasa hiviiiiiii
 
Back
Top Bottom