Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Jamani mlioko nje ya mahakama tupieni basi hata kapicha siamini kama tume shinda!!!...
 
LEMA LEMA LEMAAaAAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
LEMA LEMA LEMAAaAAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
LEMA LEMA LEMAAaAAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dr Slaa rais 2015 tishio la masalia a.k.a PM7 na CCM yupooooooooooooooooo????

V
SENGEREMA
 
Safi sana Yericko and the team kwa updates.

hii ni dhahiri kuwa haki huchelewa tu wala haipotei kamwe.

Ushindi huu uwe ni chachu ya kuharakisha ukombozi wa pili, uwe ni nuru ya kumulika wasaliti ndani ya chama na vilevile uwe ni fagio la chuma kung'oa wote wasiopenda kuona nchi inanyakuliwa toka kwenye lindi la ufisadi wa ccm.
 
Wikendi yangu imeanza uzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ngoja nitangulie arusha sasa!
 
hongera lema ,chadema na makamanda wote wa chadema viva CDM mungu akiwa upande wetu hakuna atakayekuwa juu yetu mahakama imetenda haki.
 
Back
Top Bottom