Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo

Nani Fisadi? Kwa ushahidi upi? Uko tayari kula ban endapo hutatuwekea ushahidi huo?
Mods ntaomba Ban kwa huyu endapo anachokiita Ufisadi hataweza kuthibitisha!
Mwizi baba wa watu. Ninyi mnataka watu wawapambe hata wabovu kisa mpinzani. Wakati mnanadi kwa ufisadi na kusema mnanyaraka hamkujua hilo.

Ndo Lusinde na akili zake chache tu akasema. Edo bonge na streka. Aliona wanamchafua akahamia kwao.
 
Si umemsikia leo anahimiza mahakama ya mafisadi,na anataka yafungwe chap chap
Ndivyo mlivyodanganyika? Mahakama zilizopo hazina uwezo wa kushughulikia kesi za Ufisadi? Ufisadi tafsiri yake nini? Sheria zipo au hazipo? Mtafute ndugu au jirani yako akueleweshe kitu kiitwacho non-retrospective application of the Law halafu ubadilishe verse ya Lowassa kwenye wimbo wenu!
 
Nani Fisadi? Kwa ushahidi upi? Uko tayari kula ban endapo hutatuwekea ushahidi huo?
Mods ntaomba Ban kwa huyu endapo anachokiita Ufisadi hataweza kuthibitisha!
Acha utoto wewe unadhani tupo bunge i hapa ban ndio itawasafisha?
 
Mbona Star Tv na AZAM wanaonyesha? Ina maana sahizi watu wamekuwa na mapenzi sana na TBC kuliko TV zingine.
Star Tv wanaonesha kipindi cha maswali na majibu,kikiisha wanalala mbele. Azam wanaonesha jioni, wakishaanza hawadumu hata dk 45 zinaanza scratches kidogodogo, wanashindwa wanakata wanaendelea na yao, hayo ndiyo mliyoyataka! Halafu saa nne mnaoneshwa programu ya siku nzima kwa saa 1 tu. Kweli #HapaHofuTu!
 
Ndivyo mlivyodanganyika? Mahakama zilizopo hazina uwezo wa kushughulikia kesi za Ufisadi? Ufisadi tafsiri yake nini? Sheria zipo au hazipo? Mtafute ndugu au jirani yako akueleweshe kitu kiitwacho non-retrospective application of the Law halafu ubadilishe verse ya Lowassa kwenye wimbo wenu!
Wimbo wa Lowassa mwizi ni wa Chadema.

Sikiliza:
 

Attachments

  • Lema Lowassa ni fisadi anapaswa kuzomewa.mp4
    4.3 MB · Views: 29
Mie nashangaa sana watu kuituhumu CCM eti haifanyi maamuzi, mara ooh Rais aingilie kati, mara oooh Mwenyekiti wa bunge aingilie kati, hivi hizo sheria na kanuni za ZEC huwa mnazisoma na kuzielewa? Au furaha yenu ni kubwabwaja tu na kujiona nyie ndio watetezi wa wananchi? Wabunge kama Lema badala ya kutuhumu na kulalamika mlipaswa mpeleke bungeni maombi ya kutengua baadhi ya kanuni na sheria za ZEC na NEC ili rais, CCM, waziri mkuu na wengine mtakaoona wanafaa wawe na uwezo wa kuingilia shughuli na kazi za hizo tume za uchaguzi.
Nani atapitisha hizo sheria? Ikiwa wanaotakiwa kupitisha ndo watu humors namba moja.
 
Nani atapitisha hizo sheria? Ikiwa wanaotakiwa kupitisha ndo watu humors namba moja.
CUF ndo wamempa rais wa ZNZ madaraka makubwa na kuiita ZNZ ni nchi. Wakaanda bendera yao na wimbo wa Taifa lao. Walikuwa wanajiandaa kujitenga.

Mambo yamewagomea, watu wanaleta kujua. Mbona wakati ZNZ inabadili katiba hamkujitokeza kupinga.

Wanaosema rais aingilie kati walete vifungu vya kumruhusu na si kuongea tu. Nchi yenye sheria na mihimili kamili lazima isiingiliane.
 
w
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema leo bungeni suala la Zanzibar si la kichama,Ni suala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu.

Lema amewaambia wabunge wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote.

Lema amemtolea mfano mbunge Marry Nagu na kumwambia akumbuke serakali iliyopita alikuwa waziri,Lakini leo naye anauliza maswali ya nyongeza.

Lema alienda mbali zaidi na kumwambia Mwenyekiti wa bunge Chenge asijione ni mdogo wake Mungu kwa kukalia kiti cha spika.

Godbless Lema nimegundua ni mbunge bora wa muda wote,Viva Chaliii
wee kibo 10 akili yako sawa tu na huyo jamaa yako lema. sasa kumwambia marry nagu sasa na yeye anauliza maswali ya nyongeza na chenge asijione mungu mtu
ndio nini kama si kuzungusha maneno tu. hakika ni uchalii tu.
 
Godbless Lema nimegundua ni mbunge bora wa muda wote,Viva Chaliii

Kwangu mimi Godbless Lema ndiye mbunge mwenye matusi na kigeugeu kuliko mbunge yeyote.Alitukana Lowasa baadaye akageuka.Kwa ufupi ni wa kupuuzwa tu.Wanaarusha hawakumtuma akaongelee ya Zanzibar yeye sio mbunge wa Zanzibar.Akiongea tu unajua ana wehu fulani.
 
Back
Top Bottom