Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

Lema ni Jambazi jamani haya maneno yangu! Mtakuja kuyakubali muda si mrefu! nawashangaa watu Arusha wanakuwa mateka wa mwizi wa magari lazima muwe na Cognition
usimuhukumu mtu kabla ya ww hujahukumiwa; Lema anatuhumiwa tu na Zombi na wala hajakutwa na hatia kuwa u mwizi wa magari!
 
&lt;br /&gt;<br />
Nakubaliana na wewe mkuu, jamaa ni jambazi la kufa mtu. Kampani yake Arusha ni ya majambazi wanaofahamika! Hili tunalijua toka zamani!
<br />
<br />
majuha ya magamba yanajiropokea tu. Kama mlijua toka siku nyingi mbona msichukue hatua? Lema kawabana pumzi mnapumua kwa shida.
 
Mzee wa Posho,
Ungemalizia kabisa Ignorance is Bliss, Lema kamchukuwa yule mchekeshaji anaitwa Stive Nyerere na kurekodi sauti ya huyo diwani!
Jamaa ana uwezo wakuongea kama Nyerere, Mkapa, Bush, Mwinyi.
Teh teh teh..Lema bana
nenda Arusha basi, ukaokoe jahazi
 
Siku zote mcheza pweke ushinda. Tuone kama mkiingia kwenye spaling mtashinda.

Yetu macho
 
Nimeongea na kiongozi mmoja wa Kanisa kutoka Arusha, ambaye anakiri wazi kwamba yeye na sehemu kubwa ya waumini wake walimuunga mkono mgombea urais wa CDM, Dr Slaa akisema wazi chama hicho kingeshinda na kuunda serikali, utawala wake usingekuwa na tofauti na utawala wa zamani wa Ujerumani, chini ya Dikteta Adolf Hitler

Nawewe tuwekee hiyo CD ya maongezi yenu.
 
Mzee wa Posho,
Ungemalizia kabisa Ignorance is Bliss, Lema kamchukuwa yule mchekeshaji anaitwa Stive Nyerere na kurekodi sauti ya huyo diwani!
Jamaa ana uwezo wakuongea kama Nyerere, Mkapa, Bush, Mwinyi.
Teh teh teh..Lema bana
CCM ni legelege hata kwenye fitna mko legelege. Hahahaha
 
lema ni jambazi jamani haya maneno yangu! Mtakuja kuyakubali muda si mrefu! Nawashangaa watu arusha wanakuwa mateka wa mwizi wa magari lazima muwe na cognition

hivi unawaza kwa kutumia ma ka lio au? Heli mwizi wa magari kuliko hao wanao ibia nchi mabilioni.

Ni lini alikamatwa kama jambazi?
Na zombe kwa nini hakutoa hizo tuhuma mapema?

Kama ni mwizi kinacho fuata c kwenda mahakamani? Je ccm mefanya hivyo? Make nasikia ccm ndo watakuwa wafanya uchunguzi.

Na ni nani aliye lalamika kwamba ameibiwa gari na lema? Au aliiba magari ya ccm?
 
<br />
Nakubaliana na wewe mkuu, jamaa ni jambazi la kufa mtu. Kampani yake Arusha ni ya majambazi wanaofahamika! Hili tunalijua toka zamani!
Mbona Wizi wenu wa Chama chenu Mkiongozwa Na Mkwe.re hamuuoni, Nyie vp banah,kama alikuwa Jambazi Poa tu ilmradi kazi anayoifanya ya Kutumikia Wananchi inaonekana
 
Hizi kweli sinema za kina Kanumba na Muhogo Mchugu!
Vipi si mwambieni Lema awaonyeshe na ile DVD yake hanavyopora magari kwa kutumia silaha
haya sasa na wewe mwenye akili kama Zombe umeshadanganywa na Zombe, kama Lema ni jambazi kwannina wasimkamate na kumfunga baci ni udhaifu wa serikali iliyo madarakani. TAFADHALI USIBINAFSISHE KUFIKIRI
 
Ushahidi wa kurekodi sauti na Video haukubaliki mahakamaani! Kuna watalamu wa Kuigiza sauti! Lema kaonesha Ignorance ya hali ya juu kwa hili,mtu yoyote anaweza igiza sauti! Tena huyo Mallah akienda Mahakamani itawa Cost sana Chadema! Washabiki wa Chadema nashangaa mme shabikia suala hili na kusifia intelejensia ya Chadema! Hicho kitu hakipo kabisa kwa Ushahidi wa mtu kurekodiwa sauti!
Dunia inakwenda na technologia mpya siku hizi mahakama zinatumia CCTV kama ushahidi.
 
Hivi viongozi wa Chadema Dr Slaa,Zitto,Mbowe,Mnyika....kwanini mnamuacha Lema anafanya mambo ya kijinga jamani? Hii itaki-cost Chama jamani inakuaje Mbunge Mzima anatoa Ushahidi wa CD tena kwenye Public?

Huyo Mallah ataishitaki Chadema na kusema hiyo saauti yake imeigizwa na ni kosa kama kufoji saini ya mtu mwingine!

Chadema lazima kuwa makini na baadhi ya watu kama Lema tusiruhusu afanye mambo kwa akili yake jamani italeta damage kubwa sana hasa mambo ya kisheria! This is chiddish to Lema angeomba Ushauri kwanza kwa wenzake!
 
Back
Top Bottom