Legends of Hip hop Bongo

....hahahahahaha...ID yangu ndo hii hii,'sheikh'!...mi sipo kwenye ile 'list of shame!'
...turudi kwenye ilmu ya mada!

Sasa brother mimi najua kuna Legends wa kitambo sana hapa Bongo,
Ila my concern was not the Content of HipHop Music, but the Form.
Kitu kama the use of poetic licence, diction and language manipulation.
Ni sawa na kusema leo alivyo Kendrick Lamar na mtu kama Rakim.

Rakim is well composed sana,
Content zake ni za kufa mtu sema tu language manipulation mtaalamu ni Kendrick that's all of my concern.
 
....naona uzee na hii chimpumu iliyo kichwani vinanipotezea network!...Kendrick Lamar!...who the hell is she!????...never heard of her before!
 
....naona uzee na hii chimpumu iliyo kichwani vinanipotezea network!...Kendrick Lamar!...who the hell is she!????...never heard of her before!
hili ndo tatizo la wabongo wengi, yani kwa kuwa mtu kaanza game kitambo ndo umuone yuko juu sana.. acha imani potofu wewe
 
....teh teh teh...umeamua kunipasua kichwa!...waongelea 'mind-bending lyricism',afu wanipa mfano wa "rapper!"
...mada nzuri,ipe scope twende sawa!

Right on bro,.....
We simply speak of Hip-Hop artists who can write a poem.
The endorsement of metaphors and other figures of speech.

Kama hapa Bongo ningesema mtu kama Solo Thang na ule wimbo wa miss Tanzania,
It was very hard to grasp a message, and it made me wonder what did he eat before penning that song.
Mfano mwingine ni huyu ndugu yetu Niki Mbishi kwenye Ule wimbo wake wa Jogoo; That was something.

Sitaki kuzungumzie mashahiri ambayo ni open ended; kila mtu anaweza kuelewa.
Ila nataka ule umahili wa mtu kucheza na lugha.
Nitoke kidogo nje ya maada, watu wa taalabu ni wataalamu sana wa kucheza na lugha na mashahiri.
Inahitaji jicho la tatu uweze kuwaelewa. That's simply Mind-Bending.

Sitaki nani alikuwa wa kwanza kuimba Hip Hip Bongo.
Ila wajuvi wa kucheza na lugha yetu ya kizawa hasa katika utajiri wa mashahiri asilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom