Led sony bravia 32 inch for sale @650000

Kitu mwake. Umechelewa kdg tu. Mi juzi nimenunua LG kwa laki 9. Inches izo izo.

Ila nlikua nataka sana Sony

Mkuu hivi brand nzuri ni aina gani ya tv? Mi nina singsung inasumbua sana na huku sumbawanga mafundi sio wazuri, nikipata mshahara nataka nipate mpya
 
Inategmea na choice ya Mtu a napenda brand gani, lakini sony wane prove to be the best brand so far.
 
Mkuu hivi brand nzuri ni aina gani ya tv? Mi nina singsung inasumbua sana na huku sumbawanga mafundi sio wazuri, nikipata mshahara nataka nipate mpya

Singsung sio brand nzuri.

Basi bora hata Hitachi, Panasonic, na Sony.

Kwa skuizi Samsung na LG ndio ziko juu. Flat screen led. Au smart
 
Nimenunua moja.. its cul haina noma yoyote. .. K-Kille u deserve 5 star feedback kma ungekua ebay..
 
Thanks brother! Ukiwa muaminifu na ukiwauzia watu kitu Cha uhakika inakua rahisi hata next time kuaminika ukitaka kuuZa product nyingine! Asante kwa feed back kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom