LE Mutuz: Special Salute To Paschal Mayalla!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- SALUTE TO BROTHER PASCHAL: Jana by chance tulikutana Saba saba grounds akiwa kazini, in the spirit of JF tukakubaliana ku-team up and do some JF promotion through his connections na PPR TV Stations, tukapewa muda wa ku-promote JF through a long interview; in the process of the act tukakusanya karibu nusu ya wananchi waliokuwepo Uwanjani jana majira ya saa Tisa na Kumi jioni; meaning kwamba kila mmoja wao alipata nafasi ya kuijua JF na huko kwenye kipindi cha hiyo TV station kitaelewekas zaidi pia, it is my hope kwamba Paschal ataweza kuileta video hiyo hapa watakapomaliza kuitumia huko PPR TV Channels ili na wengine waelemike hapa.

- Now Paschal na mimi kwa kawaida hatukubaliani kabisa kiitikadi za siasa na mwenendo wa namna ya mabadiliko, lakini we always respect each other stand bila kugombana wala fitina, he was there when I meat Lowassa at Bunge grounds na he later expressed his shock of the act, lakini we always put our tofauti aside na kuweka JF na TAifa mbele kila tunapokutana;

- PASCHAL RESPECT TO YOU BRO you are a great human being; I AM HUMBLED NA YOUR COMMITMENT TO THE SERIOUS CHANGES FOR OUR NATION, CHARMING AND BOLD; HOPE WENGINE WATAIGA MFANO WAKO WA KUKUBALI KUTOKUBALIANA BILA KUFITINIANA AU KUTAFUTIANA VISA!!

- BY THE WAY: JUZI UWANJA WA TAIFA ALINICHEKESHA SANA MHESHIMIWA MBUNGE WANGU WA MTERA. LUSINDE: ALINIAMBIA "NDUGU ZAKO JF WANASEMA MIMI NDIO NIMEMTEKA DR. ULIMBOKA" HA! HA! HA! HA! HA! HA! HA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA JF PIA!!

LE MUTUZ BAHARIA BIG SHOOOW!! @ KATA KIVUKONI;DAR CITY!!
 
Bwana LeMutuz, hata mimi nimo ndani ya CCM tena ngazi ya juu kabisa, ila nakuomba uhachane na mambo ya siasa. Yaani umekuwa kituko . Yaani haueleweki kila mtu anakushangaa. Sasa, hivi ulivyoandika humu ni nini ndugu yangu? hivi zimo kweli? Khaaa
Mara 10 urudi marekani uendeleze shuguli zako badala ya kupoteza muda wako. Rudi bungeni uokaombe mkanda wa hotuba yako alafu ujitathmini upya mkuu.
 
Ninavofahamu mimi, PPR sio TV station, nadhani ni kampuni inayofanya kazi zinazohusiana na Public Relations kwa maana wanarekodi tukio flani iwe katika shughuli za kiserikali au binafsi na kisha kwenda irusha hewani katika local TV stations za hapa bongo.
...Sawa Le Mutuz, naona umeamua Utokelezeee kihivo leo!!! kwi kwi kkwi kkwii
 
Lemutuz alisema kuwa CCM itaendelea kutawala miaka hamsini tena ijayo
attachment.php
attachment.php
 
Lemutuz alisema kuwa CCM itaendelea kutawala miaka hamsini tena ijayo
attachment.php
attachment.php
Ha ha ha. Le mutuz u amaze me brah! Naona nusu ya waliokuwa viwanja vya sabasaba wamekuzunguka hapo wanakusikiliza. Umenikumbusha ile kampeni ya sijui UDP igunga na Yule mgombea wao mleviii.
Hongera sana. Tatizo kubwa (source Teamo)
 
Last edited by a moderator:
- Mazee Nyani wasp maaan? Looogntime sana you know!! ha! ha! ha! ha! ha! SALUTE MAMEN! HA! HA! I MEAN JUZI UWANJA WA TAIFA IT WAS WASAP MAAAN!! HA! HA! HA!

- WHEN YUO GET A CHANCE HOLLA MAMEN!! RESPECT MUCH YOU KNOW!!

LE BIIIG SHOOOW!!

Yo! Yo! Yo! What's the what ma nigga? It's been a minute ma nigga....nah'mean?

I see you doin' it big hommie. You got a five star chick and everything man. She's on point....nah'mean?

Aiiight ma nigga...I'll hit you up in a minute. Stay sucker free hommie. One.
 
- Mazee Nyani wasp maaan? Looogntime sana you know!! ha! ha! ha! ha! ha! SALUTE MAMEN! HA! HA! I MEAN JUZI UWANJA WA TAIFA IT WAS WASAP MAAAN!! HA! HA! HA!

- WHEN YUO GET A CHANCE HOLLA MAMEN!! RESPECT MUCH YOU KNOW!!

LE BIIIG SHOOOW!!

Nyani Ngabu? :embarrassed:!!
 
- jamani wananchi wengine wote mliojaa hapa lets get this thing straight, kuna mwenye swali au ishu tuongee maana naona mko wengi na mna maduku duku ok i am here you know kama kuna swali lets talk it over?

- ok wasap? Other kesho nitakuwa classic radio usiku kuanzia saaa tatu w can have more talk; lakini this is crazy lets talk people mnasema je will answer all the questions now! Go right ahead!!

Le mutuz
 
Back
Top Bottom