ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini Wiliam J.Malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.