Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa pia upande wa vikosi vya Umoja wa Mataifa kwamba tuna jeshi linalotumainika na kutegemeka.

Lakini baada ya hivi karibuni Msumbiji kupata matatizo na waasi, wamekimbilia Rwanda kuomba msaada, na sio Tanzania. Najiuliza sana, kulikoni tena Msumbiji wamegeukia Rwanda na sio Tanzania tena? Na habari kutoka Msumbiji zinasema jeshi la Rwanda limefanya maajabu Msumbiji na kukomboa sehemu iliyokuwa ikikaliwa na waasi.

Ukweli ni kwamba fursa za jeshi letu kutoa msaada wa kijeshi pale unapotakiwa ni fursa nzuri sana ya kulipa mazoezi halisi ya kivita. Wakati wa vita na Idd Amin, sababu moja iliyofanya tumpige kirahisi ilikuwa kwamba jeshi letu lilikuwa na uzoefu wa vita katika mapambano ya kupigania uhuru kusini mwa Afrika. Kwa hiyo Idd Amin alichokoza nchi ambayo wanajeshi wake walikuwa wamebobea vita, wakati wanajeshi wa Uganda walikuwa wameoteana vitambi na uzoefu wao ilikuwa kupiga raia wasio na silaha. Sasa nachelea sababu za Msumbiji kuamua kwenda Rwanda safari hii. Au wameona tuko busy na mabishano ya katiba mpya na kupambana na wapinzani wa siasa mitaani?

Reference: Rwandan, Mozambican troops capture rebel stronghold in Cabo Delgado
Msunbiji wameomba msaada kwa majeshi ya SADC ,na sasa wap huku vikosi vyte vimekamilika kuanza msako wa waasi .Jeshi la msumbiji liligawanyika na kuzidiwa na waasi
 
Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa pia upande wa vikosi vya Umoja wa Mataifa kwamba tuna jeshi linalotumainika na kutegemeka.

Lakini baada ya hivi karibuni Msumbiji kupata matatizo na waasi, wamekimbilia Rwanda kuomba msaada, na sio Tanzania. Najiuliza sana, kulikoni tena Msumbiji wamegeukia Rwanda na sio Tanzania tena? Na habari kutoka Msumbiji zinasema jeshi la Rwanda limefanya maajabu Msumbiji na kukomboa sehemu iliyokuwa ikikaliwa na waasi.

Ukweli ni kwamba fursa za jeshi letu kutoa msaada wa kijeshi pale unapotakiwa ni fursa nzuri sana ya kulipa mazoezi halisi ya kivita. Wakati wa vita na Idd Amin, sababu moja iliyofanya tumpige kirahisi ilikuwa kwamba jeshi letu lilikuwa na uzoefu wa vita katika mapambano ya kupigania uhuru kusini mwa Afrika. Kwa hiyo Idd Amin alichokoza nchi ambayo wanajeshi wake walikuwa wamebobea vita, wakati wanajeshi wa Uganda walikuwa wameoteana vitambi na uzoefu wao ilikuwa kupiga raia wasio na silaha. Sasa nachelea sababu za Msumbiji kuamua kwenda Rwanda safari hii. Au wameona tuko busy na mabishano ya katiba mpya na kupambana na wapinzani wa siasa mitaani?

Reference: Rwandan, Mozambican troops capture rebel stronghold in Cabo Delgado
Mkuu GT utawaitaje hao magaidi Msumbiji waasi?!!
 
Tumia akili kidogo wewe, yake machafuko yanahusu kampuni ya TOTAL ambayo ndio ina mradi mkubwa sana wa kuchimba gesi/ mafuta huko Delgado. Sasa TOTAL ni kampuni ya ufaransa, na ufaransa na mizizi mikubwa sana nchi za Rwanda, Burundi, DRC nk. ila sio Tanzania, na kwa vyovyote huo msaada wa kijeshi si msaada kama unavyotajwa, lazima Rwanda walipwe na faida juu, sasa unadhani nani analipia hiyo vita kama si French TOTAL?

Ndugu mtoa mada yakupasa utambue ya kuwa MZA yenyewe awali ili kataa msaada wa kijeshi tokea ktk nchi za SADEC na rais filepe nyusi aliomba msaada tokea USa na Ureno ....

Ureno walipeleka jeshi lao kwa kipindi kifupi wakarejeshwa na nafikir USA hawakupeleka kabisaa

Felipe nyusi kwa aibu yake akaenda Rwanda kuomba msaada wa jeshi pia aliomba msaada tokea Angola defence force

Nafikir sasa SADEC wameona watoe msaada maana hata jeshi la marekan kupitia kamandi yake ya Africa mkuu wake alikuwepo hapa Tzz kama majumaa kadhaa huenda ikawa na wao wametia ubani kuiomba chonde chonde JWTZ ipeleke wanaume wa kazi
Tumeshaenda tayari..
 
Jamaa alifanya dharau kuwatumia mabeberu ila alikuwa akijua mkali wa hizi kazi ni Jei Wii toka TZ kwa aibu akaona amtangulize Mrwanda kisha ndio ajipendekeze kwetu!

Vijana wameenda kumaliza mzizi wa fitina kabisa wakitoka huko hali itakuwa ni shwari sana! Ila kwa sura za wale vijana niliowaona nina mashaka kama watakuwa na ari kama waliokuwa nayo baba zao akina Mwita🤣
 
Ufaransa ndo amewekeza kwenye mafuta hapo Mozambique
Ili asipata hasara anatumia koloni lake. Rwanda kuangalia masilahi yake
Ndo maana hii miungano sioni Fadi kabisa yaani mfarasa kapenya kaingia Hadi SADC ....

Wanachama Bado wapo vikaoni
 
Waanajeshi wa Rwanda wakienda kwaajili ya kulinda visima vya gasi vya kampuni za kifaransa Total ndio maana hata SADC haikukubaliana na huo mpango kwa sababu Rwanda sio mwanachama
Hivi kwa nini waasi hawakuyalipua hayo matank ya wafaransa au hawakupewa ruhusa na wakubwa wao wa Tz
 
Sadc walikua wanadengua dengua,wakadema dema wameona noma influence yao inaenda kupotezwa imebidi waende tu kuondoa aibu,waonekane nao walipiga kazi 😁😁😁😁

Majeshi ya South Africa, Botswana yana wiki 2 huko Mozambique lkn mpk Sasa hayajakamata hata nusu heka ya eneo la waasi,huchelewi kuambiwa bado wanakusanya Intelligence mpk leo hahahah
 
Ila Rais Nyusi Ni genius na amewafungua wengi macho,ukiona washirika wako(SADC) hawaeleweki unaenda kuomba msaada huko mbali kabisa aisee baada ya Muda kidogo utaona majirani wanakuja mbio mbio nao kutoa msaada waonekane walishiriki Hahah.
 
tulishasaidia sana hawa watu na wengine lakini wamekosa shukrani, sasa waache wapambane wenyewe....Rwanda ni rafiki maslahi hajakwenda bure pale, utasikia tu balaa lake...

Enzi zile tuliwasaidia wote hawa bure kabisa lakini wamekosa shukrani...
 
Kila mtu apambane na hali yake.
 
Back
Top Bottom