Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

Pumbafuuuuuu sana, aende akapewe ukuu wa wilaya au mkoa ili aendeleze ufisadi wake vizuri
 
huyu bwana anasema amepita bila kupingwa kumbe ilikuwa danganya toto. Cha moto amekiona na nadhani hatarudia tena. Ulikuwa ubunge wake wa kwanza na wa mwisho!! Hahahahahahahahahahahahaha. Huyu jamaa baba yake alikuwa udp na acyually huyo mzee walikuwa ndiyo waasisis wa mageuzi ya vyama vya siasa kanda ya ziwa. Mtoto tunasikia ghafla akaibukia ccm. Nadhani amekiona cha mtema kuni!!
laana kutoka kwa huyo baba yake
 
Kwa maneno yake mwenyewe, Masha adai apita bila kupingwa. Vitimbwi na bila aibu bado anazungumzia kuapishwa bila kupingwa. Ulevi wa Madaraka
 
Jamani mwacheni Masha apumzike,ubunge amekosa mwache aendelee na profession yake! anything personal with him??
 
Majuzi kadundwa na mume mwenzie kapoteza meno matatu plae British Legion....kwa sababu ya maneno machafu
 
Alifikiri siasa ni mchezo wa lelemama,inaonekana ujasili aliokuwanao ulikuwa unatokana na historia.Lakini,hakasahau mambo wakati mwingine hubadilika!!
 
Vipi amesharudi IMMA Advocate kupiga kazi? Nina imani JK atampa Ubunge kwenye zile nafasi zake saba zilizobaki. JK hawezi kumtupa na wala Mh. Rais hana historia ya kuwasahau watu waliomsaidia kwa namna moja au nyingine!! Kumbuka Masha kupitia IMMA Advocate alimpatia nyumba ya kuishi na gari ya kifahari aina ya Mercedes Benz S Class (S350) mtoto wa JK bwana Ridhiwani mara baada ya baba yake kuteuliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM mwaka 2005.
 
you are kidding me? RIDHIWANI?
 
Huyu ni msanii kweli kweli.... yaani katika kipindi cha miaka mitano ijayo anadai hatawaangusha watu wa nyamagana "wakati kaenda mpaka kuchukua vitasa?"" huyu kweli kiboko.... nashukulu amepita bila kupingwa.... sijui angepingwa ingekuwaje!!!!!
 
Back
Top Bottom