Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

Hapo Michuzi alivuta pesa, pesa bana mpaka anamsaidia kujibu utamsikia anamnsaidia kusema Inshalah...Mungu hachezewi kama wewe fisi ni fisi tu...na atakuadhibu
 
boss wake Kikwete alisema vile vitambulisho vya watanzania vilikuwa na mizengwe mizengwe kwani Masha na yeye ndo walitaka wale pande pamoja watu wakawashika pabaya, mtaona kama vitambulisho vitatoka tena mpaka Rais wa upinzani ndo tutapata.......

Sijui na B. Kubwa nao watampiga chini kuwa mwenyekiti wao.....

Mungu uwalaani hawa wafilisike wapate mateso hapa duniani na aheraaaaaaaaaaaaa

Kikwete aanguke anguke mpaka kitandani usimuache apate usingizi kwa kuwalaghai watanzania, kwa kutubagua kiasi hiki asipate raha maisha yake yote
atajenga mijumba mikubwa - hwatalala huko...
watajaza mavyakula nyumbani kwao - ila hawataweza kula
watakuwa na mipesa mingi ila hawatakuwa na raha...
Mizimu ya watoto wanaokufa kwa huduma mbovu mahospitalini.....
Masikini wanaomlilia Mungu kila siku...............
Na watanzania wote ambao hawawapendi ila wao wanang;ang'ania madaraka iwatafuneeeeeeee
wawe wanajikuta wamelala makaburini kila siku.........
 
Hahahahahahahahhhh Werawerrraaa. Deodat umeleta kitu kizuri sana. Wenje usimsahau Masha katika ufalme wako japo kupangusa gari yako tu na kiwi akupigie
 
Hahahahahahahahhhh Werawerrraaa. Deodat umeleta kitu kizuri sana. Wenje usimsahau Masha katika ufalme wako japo kupangusa gari yako tu na kiwi akupigie

Ha ha ha aha! anaweza pia akampa u-house girl, ooops sorry, u-house boy! or no shamba boy! ha ha ha ha! Mafisadi Chaliiiiiiiiiiiiii!

Kwakweli mie pigo la huyo jamaa limenifurahisha sana (msiniulize kwanini)
 
wekeni hii video kwenye kumbukumbu.Masha au Michuzi mwenyewe bila kuambiwa hachelewi kuifuta.kuficha aibu hii.

Kutoka kuwa mbunge aliyepita bila kupingwa mpaka kuwa waziri aliyeangushwa. teh teh teh

Amenichekesha pale anasema " Mimi na mwenzangu ngeleja tuliopita bila kupigwa tawasaidia wenzetu."- Kumbe aliotaka kuwasaidia ndio walitakiwa kumsaidia.

Nimecheka zaidi alivyosema " hapa Mwanza ni CCM tu "


Weraaaaa Weraaaaaaaaaaa
 
Dah. 'm tryin 2 imagine Masha alipo. He's thinkin 'Wale police walikuwa wananiogopa sasa watakuja nikamata sikumoja?'
Na utakamatwa sana. Subiri
 
Huko aliko anajinyea kama siyo kujikojolea FISADI, mwanaharamu. Alimega mke wangu, mwacheni tu na bado. Ngoja kesi za ufisadi zifunguliwe bungeni atakiona cha moto
wewe nawe mkeo kicheche.....mpaka anamegwa na lau?
 
Baba! Baba! Nafikiri leo ukiyakumbuka maneno yako, unajuuuuta kumfahamu Wenje! ha ha ha ha ha ha!

YouTube - Nyamagana MP Lawrence Masha speaks (MichuziBlog)

Mafisadi! Piga chini! Wezi! Piga chini! Majambazi! Piga chini! Wachakachuaji! Piga chini!

Wera weraaaaaa!

Nakushukuru sana kwa hii Hotuba ya mtu aliepewa dhamana kubwa ndani ya Serikali akajifanyakapita bila kumpingwa kumbe alikuwa anajua amefanya nini ndani ya nafsi yake bado pia anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kupita bila kupingwa KWA UOVU HUU MUNGU ALANI MAISHA YAKE YOTE Kila siku JK alikuwa anaambiwa Mawaziri wako si waadilifu ukweli unajidhihirisha.LONG LIVE CHADEMA.Hakijua kwanini CHADEMA WAMEJITOLEA KUPOTEZA NAFASI YA DR SLAA MOJA BUNGENI ILI WAZALIWE WATOTO WENYE DAMU NA ARI YA DR SLAA ole wenu mlojifanya kama Masha mmepita bila kupingwa kumbe mmedanganya mtapata laana ..SLAA NI KOMBORA LA MAANGAMIZI DHIDI YA CCM
 
Jamani Mwenye namba ya simu ya masha naiomba kwani natafuta house boi na masha ana kila sifa za kuwa house gal wangu..............oups sorry house boy wangu.
 
wekeni hii video kwenye kumbukumbu.Masha au Michuzi mwenyewe bila kuambiwa hachelewi kuifuta.kuficha aibu hii.

Kutoka kuwa mbunge aliyepita bila kupingwa mpaka kuwa waziri aliyeangushwa. teh teh teh

Amenichekesha pale anasema " Mimi na mwenzangu ngeleja tuliopita bila kupigwa tawasaidia wenzetu
."- Kumbe aliotaka kuwasaidia ndio walitakiwa kumsaidia.

Nimecheka zaidi alivyosema " hapa Mwanza ni CCM tu "


Weraaaaa Weraaaaaaaaaaa

Ha ha ha! Dialo naye aingalie hiyo video......eti mwanza ni ccm tu! haya sasa..cha...cha....chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom