Lawama zimwendee Mwana FA au Dully Sykes ?

Mbona kwa design hiyo watalaumiwa wengi Ukikaa na kusikiliza kwa makini utagundua kuwa nyimbo nyingi za kidogo zimekuwa sampled nje ya Bongo!
 
lawama zikuendee wewe unaesikiiza jisongi hilo.......bongo fleva ni kwa fools......
 
Nyimbo zote za fleva hazina maana, ziko sampled kwa wasani wa nje. Zamani hapa Bongo watu walikuwa hawajuwi hivyo lakini hiyo ndiyo habari kamili. Nchi za Ulaya mtu ukipiga muziki wa mwenzako inabidi ulipe kiasi cha pesa kwa msanii husika ila hapa Bongo wanatumia wizi. Time to ditch fleva turudi kwenye muziki wetu wa asili.
 
lawama zikuendee wewe unaesikiiza jisongi hilo.......bongo fleva ni kwa fools......


Couldn't agree more with you more. I promote YOU to become a JF critic! Lete namba ya simu na waraka wako haraka iwezekanavyo.
 
Baada ya kuulizwa na "Gossip Cop. wa Clouds Bw.Soud Brown Dully Sykes alimtukana kuwa haongei na "MASHOGA"
 
Baada ya kuulizwa na "Gossip Cop. wa Clouds Bw.Soud Brown Dully Sykes alimtukana kuwa haongei na "MASHOGA"

Juzi kati kuna jamaa mmoja maeneo ya sinza alipita huku akiwa kashika chupa ya Bia ya Tusker...basi nkajuwa ni wewe ndugu yangu si nkaanza kuita
 
Na wala sio wimbo ni beat ndiyo iko smpled ndio maana FA aka sema ni bora aulizwe dully.

Alaumiwe aliyetukana.
 
Producer'dully' ndo wakulaumiwa zaid coz ye ndo kasample beat na kaiga na melody ya chorus.FA ye alichokifanya ni kutupia mistari yake,ila anastahili lawama endapo tu alijua kwmb dully kacopy wimbo wa msanii wa nje na kulifumbia hilo swala macho kwa maslah yake.
 
Wazee wa ku copy na ku paste kama ilivyo, why jamani wavuta ndumu wetu kina Boban hawawezi kuwa copy na ku paste kina Balotelli tukachanua na sie uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom