Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

Kwani Urais wa SACCOSS ya TLS nao ni dili? Waroho wa madaraka hapo ndiyo mmefika.

Hatushangai hadi Udiwani, huwa Viongozi wa kitaifa huenda kuweka nguvu na matokeo take mnapigwa. Sasa yako ka TLS mbona ndiyo mmepata?
Akili ndogo ....daaaah sikutegemea kukuta coment kama hii hapa jamii forum.. Wewe kama elimu sio o'level basi standard 7..jiulize kwanini waziri na serikali yako jasho linawatoka kuhusu TLS
 
Ishu ya kukifuta ndo imeisha au wamehamia kwenye plan B?

Vita bado tusisherehekee ushindi mapema.
weweee!!! Umeongea point sana,hawa jamaa wa kijani ni washenzi wa tabia haiwezekani lissu aachiwe kilaini hivyo inawezekana huko kwenye kuhesabu kura kuna michezo wameshaanda
 
Napata ukakasi tundu lissu anaweza shinda lakini kutangazwa itakuwa ngumu ni sawa kutangaza unauza condom ktk ya nyumba ya ibada.. either matokeo ya batilishwe au TLS ifutwe..
 
Natanguliza Maombi Kwa Mwenyezi MUNGU
4aee5c06fa9dd86630eb441d123bfce6.jpg

Kwanza Heshima Kwenu Mawakili Wote. Pili Nakuomba Mwenyezi Mungu
Umtilie Wepesi na Afya Kamanda Tundu Lisu na Mawakili Wote Nawaombea Kwa MUNGU Kesho Muamke Salama
Kuelekea Kwenye Uchaguzi wa Rais wa TLS,

Nipo Hapa Kumuombea Kura Tundu Lisu.

Sina Mengi Zaidi Nadhani Lisu Anafahamaki Kwa Umahiri na Kusimamia Sheria.
Nawatakia Uchaguzi Mwema Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Amin.
 
I expected this from day one ndo maana nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanatoa povu!!

Kama mtu angekuwa anamfuatilia Masha; tangu day one alikuwa mstari wa mbele kukipigia kelele chochote kilichokuwa against Lissu!!! Nilishahisi hii ilikuwa ni plan ya kuzuia wagombea wengine kuchukua fomu lakini ili hatimae mmoja ajitoe!!!

Nakumbuka hata siku Lissu alipokamatwa; Masha alipiga kelele sana hadi mtu ungeweza kujiuliza kwanini kukamatwa kwa Lissu asione ni opportunity kwake!!!
Aone ni opportunity kwake? Hawezi kuwa so mean. Mtu anayependa demockrasia ya kweli anatakiwa ashinde kiukweli sio kwa vile kuna mwingine hakuweza kugombea for some reason or otner
 
Lissuuuuuuuu! Magu badala ya kuitumia h rasilimal h ye2 anaichezea kisa uchama na uchama,magu na mwakiembe bwana! nch ya ajab sana.
 
Mwakyembe anapigwa kote kote rais anampiga za mbavu juu ya kuoa mpk uwe na cheti cha kuzaliwa Lissu naye huko TLS atampiga za mdomoni jaman mwakyembe hoi pole sana hii ndo dawa ya mnafiki
 
Back
Top Bottom